mucho886
Senior Member
- Dec 1, 2013
- 169
- 41
Hahaaaa mapadri, masister, mashehe wanachepuka sembuse wanandoa au couples... Well siyo vizuri lakini there is nothing you can do about it... Pamoja na kuwa ukimwi upo but kuchepuka hakuishi, it's natural for a man... Hata wale unaowahisi ni waaminifu only Mungu ndo anaejua... Sisi hujaji kulingana na matendo ya mtu, mienendo na tabia anavuoonyesha lakini ukweli anaujua Mungu pekee