Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Sa unikwaze mie kwani mkeo?hahahahaa..my lungs jamani mie nakuhurumia tuu jinsi ambavyo ukuaji unakusumbua.wanaume Malaya Kwa nature katu hawajitapi hadharani ..that ain't their move a bit""we unajifunza usijali utakua hyo taarfa unayonipa ya uongo danganya watoto wenziooo

Bibie, coming January I will be in my good 64 years. Hivi bado nakua wakati nalea wajukú? mi sasa nalitafuta kaburi. Kuna mabinti wenzako wengi tu hapa JF wananijua na ndo maana wananiita babu. Ishu ya kukukwaza ilikuwa ya Kuolewa na Yesu of which is non of my wife's business. Nlikuomba radhi kwa kuhisi nimeigusa imani yako na si vinginevyo.

Now be a good girl. Dont ever call me mtoto wakati naweza au labda mi ni babu yako.

Ngoja niusubirie uungwana wako.
 
Aah kwakwakwaah maskinii umekosa points unaanza kukashfu heheheeh pole mwaya ..wewe ndio jike unae funuliwa marinda na wanaume wenzako kiasi unawajua kutupitaa..hahahaahaaaaaa...ndo maana unashadadia xna uchepukaji kumbe unajitongozesha Kwa Mr za watu maskiniii ..mhhhh poor youuuu...umenoa mjew hafanyi hzo vtu.try else whereeeeeee

Jeez!!! kumbe? Ustaarabu wako umeupeleka wapi tena bibie? Haya maneno umeyaandika wewe? Afu kweli unanambia mi bado nakua? You are not fair aisee.
 
Vita ya michepuko ni sawa na vita ya madawa ya kulevya.

Ngumu kuizuia
 
Bibie, coming January I will be in my good 64 years. Hivi bado nakua wakati nalea wajukú? mi sasa nalitafuta kaburi. Kuna mabinti wenzako wengi tu hapa JF wananijua na ndo maana wananiita babu. Ishu ya kukukwaza ilikuwa ya Kuolewa na Yesu of which is non of my wife's business. Nlikuomba radhi kwa kuhisi nimeigusa imani yako na si vinginevyo.

Now be a good girl. Dont ever call me mtoto wakati naweza au labda mi ni babu yako.

Ngoja niusubirie uungwana wako.

What?! yo 64?anyway samahami babu.
 
heshima kwako mzee!! Kuna kitu kimoja unatakiwa kukitambua hasa unapotaka kumsoma mtu. Ukiwa unahojianna na mtu muangalie mboni ya jicho hyo ndio inaeleza ukweli na uwongo wa mtu lakin inatakiwa uwe na utaalam na hyo sayans vile vile kama unaongea na mtu iwe kwenye sim au kwa njia ya text angalia neno lake la kwanza analotamka hlo ndilo linakupa picha nzima ya busara na uelewa na tabia ya mtu. Japo huwez huwez kuisoma tabia yote
 
Eti wanasemaga ndo asili yao kuwa na michepuko!!
Kwa mwanaume ili kuepuka failures palipo na Plan A panakuwa na Plan B pia,Muwe wapole tu jamani.Lakini Tangazo linasema hata wanaNke nao siku hizi wapo ktk michepuko pia.
 
Hilo ni janga jamani. Kweli wanaume wabadilike na huwa sifahamu kwa nn wanaoa Kama hawawezi kukaa na mwanamke mmoja

Mmh! Ndoa nazo cku izi unaweza kuoa sii kwa kupenda ila ukalazimishwa, pia hiyo inachangia watu kutotulia njia kuu

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
heshima kwako mzee!! Kuna kitu kimoja unatakiwa kukitambua hasa unapotaka kumsoma mtu. Ukiwa unahojianna na mtu muangalie mboni ya jicho hyo ndio inaeleza ukweli na uwongo wa mtu lakin inatakiwa uwe na utaalam na hyo sayans vile vile kama unaongea na mtu iwe kwenye sim au kwa njia ya text angalia neno lake la kwanza analotamka hlo ndilo linakupa picha nzima ya busara na uelewa na tabia ya mtu. Japo huwez huwez kuisoma tabia yote

Nashukuru kwa hii shule mutlibu. Wengine shule zetu tulihangaika na makalkuleshen zaidi.

Ntazingatia, ahsante.
 
Mim ni mwanaume and most of men i know arent faithful as u think... 99 namanisha kuwa ni asimia kubwa japo it's not scientifically researched... What i mean is that the majority of men hatubaki njia kuu

Na huu ndo ukweli wenyewe. Ukweli unaouma.
 
Back
Top Bottom