Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Mke ana thamani sana kuliko nyumba ndogo ndo maana akaolewa.

Kosa la baadhi ya wanawake ni kutokuukubali ukweli kuwa mwanaume hajawahi kutosheka na mwanamke mmoja. Kosa alilolifanya huyo mwanamke ni kwenda kuvamia poozeo la mmewe linalomfariji mara anapotaka faraja mbadala.

Mwanamke mwenye busara za kutosha ahangaiki kumfuatilia mmewe, kama mmewe anamtimizia mahitaji yote ya kimwili, kikojoleo, na kifamilia. Ni kujitafutia presha bure tu.

Mpe pole huyo mama, mwambie akome kumfuatilia mwanaume rijali, atakufa bure aache wanae wanateseka.

Haaahaaaa...hii ya leo kali.
 
Hili swala la kusema michepuko haiepukiki ndo linalosababisha na upande wa pili kuchepuka. Busara zinatakiwa sana ktk swala hili, heshima kwa mkeo ndo kitu cha msingi.
Ww binadamu gani usiejali hisia za mwenzako, umemuuza kihisia na bado unaenda kumuongeze maumivu ya mwili pia, wakati kosa ni lako. Ni wazi hapo mwanaume anamapungufu angekuwa mwanaume wa kweli angetumia busara na sio kipigo!
 
Tatizo story kama hizi zinakuwa za upande mmoja na zisizo na ushahidi wa pande mbili na mara nyingi zinaishia kuonesha prejudice na stereotype za mleta mada. Mwanaume yeyote humthamini sana mkewe hadi inapofikia kuwa mke hathaminiki.

Uzoefu wangu mwenyewe ni kuwa tulitofautiana na wife. Wife akafanya masuala ya unyumba ndo weapon yake. Nikakataa kuwa bullied kwa sababu hiyo tukatengana vyumba. Baada ya kutengana wife akaanza kufuatilia nyendo zangu na kuleta fujo pale alipojua niendako. Tuvunje ndoa hataki; turudiane hataki; sasa kwa nini anifuatilie nyendo zangu? ... kama na huyu wa kwenye mada ilikuwa hivyo na apigwe tu....
 
Miss Blue G kwa kuzingatia namba 6 kwa thread yako hivi unafikiri kila kitu unachokipata nje unaweza kukaa chini na mkeo kumuomba naye akupatie? Uzuri nyumba ndogo zinajua fika kabisa kuwa kwa heshima ya ndoa ilivozoeleka kuna baadhi ya vitu mke hawezi mpa mumewe. Naye ndo anavitumia ili kuziba pengo la anachokimisi mwanaume.

Mchepuko is inevitable. Take it from me.
Ni ukweli ulioje mtu wangu.si unajua one mistake one/several goals.pale Kwenye loop hole ndo anapoingilia mwenzio
 
Mke ana thamani sana kuliko nyumba ndogo ndo maana akaolewa.

Kosa la baadhi ya wanawake ni kutokuukubali ukweli kuwa mwanaume hajawahi kutosheka na mwanamke mmoja. Kosa alilolifanya huyo mwanamke ni kwenda kuvamia poozeo la mmewe linalomfariji mara anapotaka faraja mbadala.

Mwanamke mwenye busara za kutosha ahangaiki kumfuatilia mmewe, kama mmewe anamtimizia mahitaji yote ya kimwili, kikojoleo, na kifamilia. Ni kujitafutia presha bure tu.

Mpe pole huyo mama, mwambie akome kumfuatilia mwanaume rijali, atakufa bure aache wanae wanateseka.

Naona ungekuwa karibu ningezivuta hizo hashua zako zinazokupa kibri!
 
Kuna kesi moja inafanana na hii ila mke baada ya kupigwa yeye aliamua kwenda gym akalose weight na akachange nguo, viatu, mpk akawa ana paka na makeup na alikuwa mrembo akarudi kuwa msichana.
Akawa hamsemeshi mme hata akirudi asubuhi. Mme kuona mke hamfuatilii na kabadilika kuwa mrembo akaanza wivu.
Xmas akamwambia waende kwao mmewe mke akakataa akamwambia ataenda seychelles na wanawe, mme akamuuliza nani kakulipia akasema ni pesa yake huyo mama kasave for one year. Mme akamwambia ukienda usirudi kwangu.
Mke akasema poa baada ya one month mke kaleta fuso kabeba kilicho chake na wanawe kahamia kwenye posh estate na nyumba nzuri kuliko ya mmewe.
Baba wa watu karibia afe na pressure ila ndio hivyo ndoa hakuna tena baba anatia huruma keshatuomba tumuombee msamaha mke kagoma! Nyumba ndogo imemkimbia watoto wake wako close na mama yao kila mwaka wako vacation nje ya nchi!
Kakosa bara na pwani!
 
hizi stori one sided hazina mvuto kwenye kuhukumu..ila naamini wote hao wana matatizo ,mke na.mume..
 
tena mito signature yako wala haiungi mkono hiyo support yako unayompa babu yangu mpendwa Asprin.

Ni kweli kabisa khs signature yangu, ila ujue ukweli utabaki kuwa ukweli tu, na nilivyosupport haimaanishi kuwa na mimi nashiriki ktk dhambi hiyo
 
wewe nkyalomkonza acha kufuru acha kabisa na uache kuwashusaha wanawake kwa ajili ya wewe kutaka mwanamke zadi ya mmoja,kama mkeo ni mvivu ndo maana ukaamua kuwa na nyumba ndogo unayoiona inashughulika zaidi kwa nini basi hukuamua kumwoa huyo nyumba ndogo yako?
Mke wa Adam hakuwa mzembe kama nyie. Alimtosha Adam sio nyie wachovu kazi kulalamika tu, kila saa mmechoka.
 
Last edited by a moderator:
bado nina swali kwako kama umeamua kuoa kwa dhait na kuamini kabisa huyo uliyemweka ndani ndiye chaguo sahihi kabisa la moyo wako,kwa nini uendelee kufanya comparison? kufanya comparison maaneke ni kwamba kuna sehemu umeona iko juu zaidi,kwa maana hiyo basi fanya uchaguzi sahihi ili kuepusha comparison,halafu wewe utajisikiaje ukijua kuwa mkeo anakufanyia komparison kati yako wewe na juma labda?
Hakuna kilicho bora au aliye bora kwa mazingira yote na wakati wote. Take note.
Ndoa za Leo ni comparison ya fatuma vs Sarah. Unategemea nini hapo.... hapo hata iweje kuna siku atammic Sarah au fatuma na kumtafuta kwa shughuli. Mhm usitafute hbr itakayokuumiza nafsi. Kwa usalama wako, ishi kwa assumption kuwa mko wawili tuu na watoto wenu
 
halafu hapo kwenye red @nkunge123 tuasume mkeo ana mchepuo na unakuja kujua halafu ansema kwamba hakuna aliye bora si wewe wala huyo mchepuo wake,wote ni sawa tu,utajisikiaje wewe uliyefunga naye ndoa na kula kiapo?wewe unayeishi naye unayejua leo mke wangu ana hali gani,leo ana stress,leo hayuko kwenye mood,leo ana mawazo?em jifikiriie kidogo kwa hilo jibu lako kuwa hakuna aliye bora,ina maana mke wako si bora?
Hakuna kilicho bora au aliye bora kwa mazingira yote na wakati wote. Take note.
Ndoa za Leo ni comparison ya fatuma vs Sarah. Unategemea nini hapo.... hapo hata iweje kuna siku atammic Sarah au fatuma na kumtafuta kwa shughuli. Mhm usitafute hbr itakayokuumiza nafsi. Kwa usalama wako, ishi kwa assumption kuwa mko wawili tuu na watoto wenu
 
Back
Top Bottom