Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Hivi hua inasababishwa na nini🤔🤔.. maana my ciccy nae imetoka 3 times na hatuelewi shida nini, hata bwanake nae anashangaa🤔🤔Kuna mwanamke mmoja nipo nae hapa kichanga kimetoka juzi...
Kafara hiyoo...
Hii ni mimba ya 4 inatoka
Nenda karipoti kwa Mwamposa hizo kafara zitakomaWanaume hivi kwa wale wanatoa wanawake kafara wanaonaje wenzio nakwanini mnatoa watu kafara??
Rafiki yangu alikuwa anatolewa na mchumba wake kafara isingekuwa maombi kweli leo hii angeenda na kichanga tumboni ila kichanga kilikufa . Mama akabaki kwa bahati nzuri .
Wanaume muwe na roho basi kuua wanawake kisa mali sio fresh.
hii kafara ni nzuri sana jini linakunywa damu ikiwa mbichi (fresh) huwezi kugundulika kwa watu watakuwa wanahisi ni bahati mbaya tuKuna mwanamke mmoja nipo nae hapa kichanga kimetoka juzi...
Kafara hiyoo...
Hii ni mimba ya 4 inatoka
Sababu ni agano la Uchawi, Mizimu, waganga..Hivi hua inasababishwa na nini[emoji848][emoji848].. maana my ciccy nae imetoka 3 times na hatuelewi shida nini, hata bwanake nae anashangaa[emoji848][emoji848]
Mmmmh🤔🤔🤨Sababu ni agano la Uchawi, Mizimu, waganga..
Kwa uchawi yaweza ikawa mume ni mchawi hivyo anatakiwa atoe kafara.
Wakati mwingine ni mume anakuwa ameingia agano na waganga hivyo lazima atoe kafara ya mimba.
Upande wa mizimu inakuwa ni upande wa mume Kuna agano la kafara ya kutoa mimba hivyo ndio inatoka...
Inasikitisha sana, alafu huyo dada ambaye mimba yake zinatoka ni kwao na mwenye shida ni mzazi wake wa kike...hii kafara ni nzuri sana jini linakunywa damu ikiwa mbichi (fresh) huwezi kugundulika kwa watu watakuwa wanahisi ni bahati mbaya tu
Wanawake wapenda pesa kazi mnayo...Money monga
Na yanapendaga pure blood ya vichanga Haina najisi/bado haijachafuka au kuchafuliwa na ya dunia,, kafara ya Mtoto mdogo/kachanga ina nguvu Balaa!!ila pia ina laana Balaa!!hii kafara ni nzuri sana jini linakunywa damu ikiwa mbichi (fresh) huwezi kugundulika kwa watu watakuwa wanahisi ni bahati mbaya tu
🤣🤣Achana na imani za kijinga zisizo na kichwa wala miguu hakuna cha kafara wala uchawi.
Muwe mnawawahisha wajawazito hospitali wapate vipimo na huduma stahiki za kiafya.
Usikae kusubiri hadi siku ama wiki ya kujifungua, kuna matatizo mengi anaweza kupata mama mjamzito kama vile presha kupanda ama kushuka na kuhatarisha uhai wa mama na kichanga kilicho tumboni.
Achana na imani zisizo na kichwa wala miguu. Sasa kama maombi yalimuokoa mama mjamzito, hayo maombi yalishindwa nini kumuokoa mtoto? Ama mungu alichagua aue mtoto abakize mama? Ama maombi ya mtoto hayakufika huko mbinguni?
Usisahau familia ya mkeSababu ni agano la Uchawi, Mizimu, waganga..
Kwa uchawi yaweza ikawa mume ni mchawi hivyo anatakiwa atoe kafara.
Wakati mwingine ni mume anakuwa ameingia agano na waganga hivyo lazima atoe kafara ya mimba.
Upande wa mizimu inakuwa ni upande wa mume Kuna agano la kafara ya kutoa mimba hivyo ndio inatoka...
Familia ya mume pia yaweza kuwa na Uchawi, uganga, mizimu yote inataka kafara ya mimba...
Wew mbona unaongea kinyume, nyie mnaoua waume zenu kisa Mali tena ambazo mmezikuta zmechumwa kwa jasho lke binafc mnalizungumziaje hiloWanaume hivi kwa wale wanatoa wanawake kafara wanaonaje wenzio nakwanini mnatoa watu kafara??
Rafiki yangu alikuwa anatolewa na mchumba wake kafara isingekuwa maombi kweli leo hii angeenda na kichanga tumboni ila kichanga kilikufa . Mama akabaki kwa bahati nzuri .
Wanaume muwe na roho basi kuua wanawake kisa mali sio fresh.
kuna huyo dogo nilimfundisha kutafuta pesa akaenda kuitafuta hilo jini kwa mama flani sumbawanga aisee dogo anakula maisha mijengo,ndinga za kutosha mkewe kila mimba inachomoka kakonda kawa kama kijiti huku pesa ipo kila siku anakula kuku,.tunaojua tume mute kimyaa haya maisha yaache tuNa yanapendaga pure blood ya vichanga Haina najisi/bado haijachafuka au kuchafuliwa na ya dunia,, kafara ya Mtoto mdogo/kachanga ina nguvu Balaa!!ila pia ina laana Balaa!!
Kabisa na familia ya mke hivyohivyo...Usisahau familia ya mke