Kwanini wanaume mnawatoa wanawake wenu kafara?

kuna huyo dogo nilimfundisha kutafuta pesa akaenda kuitafuta hilo jini kwa mama flani sumbawanga aisee dogo anakula maisha mijengo,ndinga za kutosha mkewe kila mimba inachomoka kakonda kawa kama kijiti huku pesa ipo kila siku anakula kuku,.tunaojua tume mute kimyaa haya maisha yaache tu
Inatisha sn
 
Tukisema uchawi upo Kuna jinga moja linakataaa...

Wanawake wanateseka sana..
 
Wanaume hivi kwa wale wanatoa wanawake kafara wanaonaje wenzio nakwanini mnatoa watu kafara??

Rafiki yangu alikuwa anatolewa na mchumba wake kafara isingekuwa maombi kweli leo hii angeenda na kichanga tumboni ila kichanga kilikufa . Mama akabaki kwa bahati nzuri .

Wanaume muwe na roho basi kuua wanawake kisa mali sio fresh.
Picha?
 
Acha Imani potofu tafuta elimu
 
Sababu ni agano la Uchawi, Mizimu, waganga..

Kwa uchawi yaweza ikawa mume ni mchawi hivyo anatakiwa atoe kafara.

Wakati mwingine ni mume anakuwa ameingia agano na waganga hivyo lazima atoe kafara ya mimba.

Upande wa mizimu inakuwa ni upande wa mume Kuna agano la kafara ya kutoa mimba hivyo ndio inatoka...

Familia ya mume pia yaweza kuwa na Uchawi, uganga, mizimu yote inataka kafara ya mimba...
Upo sahihi na kuna wengine hawajui hata historia za familia zao.

Kuna baadhi ya watu huteswa na maagano na vifungo ambayo hata hawajui chanzo chake.
 
Wanawake wapenda pesa kazi mnayo...

Mara nyingi wanaume hao wanaowaoa wanakuwa wanapesa nyingi sana...
haha Kama wewe ulivyo haupendi pesa yani nimekushirikisha kwenye deal la Pesa unakataa , si nakutanguliza tu
 
Upo sahihi na kuna wengine hawajui hata historia za familia zao.

Kuna baadhi ya watu huteswa na maagano na vifungo ambayo hata hawajui chanzo chake.
Naandika ninajua watu wanateswa ni wa familia moja, hawazai, na wanaozaa wamewekewa kiwango wototo ni 3 tu..

Familia Ina pesa na maviwanja na Mali za kutosha .Akiongeza mtoto mimba, inatoaka...

Watoto wengine hawazai...
 
Kuna mwanamke mmoja nipo nae hapa kichanga kimetoka juzi...

Kafara hiyoo...

Hii ni mimba ya 4 inatoka
Wanaume hivi kwa wale wanatoa wanawake kafara wanaonaje wenzio nakwanini mnatoa watu kafara??

Rafiki yangu alikuwa anatolewa na mchumba wake kafara isingekuwa maombi kweli leo hii angeenda na kichanga tumboni ila kichanga kilikufa . Mama akabaki kwa bahati nzuri .

Wanaume muwe na roho basi kuua wanawake kisa mali sio fresh.
Nyie tulieni nyieeee. Tukiwa hatuna hela mnatuambia tutafte mara oh sijui nguvu za kiume. Yani mm ukileta za kupenda watu wenye hela nakutoa wewe nipate hela nioe mdogo wako tuishi vizur
 
Naandika ninajua watu wanateswa ni wa familia moja, hawazai, na wanaozaa wamewekewa kiwango wototo ni 3 tu..

Familia Ina pesa na maviwanja na Mali za kutosha .Akiongeza mtoto mimba, inatoaka...

Watoto wengine hawazai...
Hili lipo kwa wengi mno, familia nyingi zinapitia haya.
Kuna jirani yangu mkoani huko yupo vizuri na uchumi mzuri lakini mkewe mimba mbili zilitoka na yatatu mtoto akaishi 2 months akafa. Kwao kila mtu ana lake linalomuandama inasemekana kuna mambo yalishafanywa na wazee wao miaka ya nyuma ndio yanawagharimu kwa sasa.
 
Mlijuaje kama mwanaume ametoa hio kafara?.

Siku nilioacha kuamini waganga kumuona mganga amekwenda polisi kisa mkewe anapelekewa moto na muhuni wa mtaani.

Hakuna uchawi wala nini
Amekiri kuwa amefanya yeye ndugu zake
 
Back
Top Bottom