Kwanini wanaume mnawatoa wanawake wenu kafara?

Inatisha sn
 
Tukisema uchawi upo Kuna jinga moja linakataaa...

Wanawake wanateseka sana..
 
Picha?
 
Acha Imani potofu tafuta elimu
 
Upo sahihi na kuna wengine hawajui hata historia za familia zao.

Kuna baadhi ya watu huteswa na maagano na vifungo ambayo hata hawajui chanzo chake.
 
Wanawake wapenda pesa kazi mnayo...

Mara nyingi wanaume hao wanaowaoa wanakuwa wanapesa nyingi sana...
haha Kama wewe ulivyo haupendi pesa yani nimekushirikisha kwenye deal la Pesa unakataa , si nakutanguliza tu
 
Upo sahihi na kuna wengine hawajui hata historia za familia zao.

Kuna baadhi ya watu huteswa na maagano na vifungo ambayo hata hawajui chanzo chake.
Naandika ninajua watu wanateswa ni wa familia moja, hawazai, na wanaozaa wamewekewa kiwango wototo ni 3 tu..

Familia Ina pesa na maviwanja na Mali za kutosha .Akiongeza mtoto mimba, inatoaka...

Watoto wengine hawazai...
 
Kuna mwanamke mmoja nipo nae hapa kichanga kimetoka juzi...

Kafara hiyoo...

Hii ni mimba ya 4 inatoka
Nyie tulieni nyieeee. Tukiwa hatuna hela mnatuambia tutafte mara oh sijui nguvu za kiume. Yani mm ukileta za kupenda watu wenye hela nakutoa wewe nipate hela nioe mdogo wako tuishi vizur
 
Naandika ninajua watu wanateswa ni wa familia moja, hawazai, na wanaozaa wamewekewa kiwango wototo ni 3 tu..

Familia Ina pesa na maviwanja na Mali za kutosha .Akiongeza mtoto mimba, inatoaka...

Watoto wengine hawazai...
Hili lipo kwa wengi mno, familia nyingi zinapitia haya.
Kuna jirani yangu mkoani huko yupo vizuri na uchumi mzuri lakini mkewe mimba mbili zilitoka na yatatu mtoto akaishi 2 months akafa. Kwao kila mtu ana lake linalomuandama inasemekana kuna mambo yalishafanywa na wazee wao miaka ya nyuma ndio yanawagharimu kwa sasa.
 
Mlijuaje kama mwanaume ametoa hio kafara?.

Siku nilioacha kuamini waganga kumuona mganga amekwenda polisi kisa mkewe anapelekewa moto na muhuni wa mtaani.

Hakuna uchawi wala nini
Amekiri kuwa amefanya yeye ndugu zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…