Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
- Thread starter
-
- #41
Alikiri kuwa alikuwa anamtoa mama na mtotoAchana na imani za kijinga zisizo na kichwa wala miguu hakuna cha kafara wala uchawi.
Muwe mnawawahisha wajawazito hospitali wapate vipimo na huduma stahiki za kiafya.
Usikae kusubiri hadi siku ama wiki ya kujifungua, kuna matatizo mengi anaweza kupata mama mjamzito kama vile presha kupanda ama kushuka na kuhatarisha uhai wa mama na kichanga kilicho tumboni.
Achana na imani zisizo na kichwa wala miguu. Sasa kama maombi yalimuokoa mama mjamzito, hayo maombi yalishindwa nini kumuokoa mtoto? Ama mungu alichagua aue mtoto abakize mama? Ama maombi ya mtoto hayakufika huko mbinguni?
Kafara hiyo usidanganywe ombeni sanaHivi hua inasababishwa na niniπ€π€.. maana my ciccy nae imetoka 3 times na hatuelewi shida nini, hata bwanake nae anashangaaπ€π€
MmmhWanaume hivi kwa wale wanatoa wanawake kafara wanaonaje wenzio nakwanini mnatoa watu kafara??
Rafiki yangu alikuwa anatolewa na mchumba wake kafara isingekuwa maombi kweli leo hii angeenda na kichanga tumboni ila kichanga kilikufa . Mama akabaki kwa bahati nzuri .
Wanaume muwe na roho basi kuua wanawake kisa mali sio fresh.
SawaKafara hiyo usidanganywe ombeni sana
Kakiri mwenyewe sasa kwanini tusisemeMmmh
Mmejuaje kama mjamzito alikuwa anatolewa kafara na mumewe?
Siku hizi mpaka madhabahuni zimetamalaki ramli chonganishi
Hili limetokeaa wapi Kama Ni Kweli hiliWanaume hivi kwa wale wanatoa wanawake kafara wanaonaje wenzio nakwanini mnatoa watu kafara??
Rafiki yangu alikuwa anatolewa na mchumba wake kafara isingekuwa maombi kweli leo hii angeenda na kichanga tumboni ila kichanga kilikufa . Mama akabaki kwa bahati nzuri .
Wanaume muwe na roho basi kuua wanawake kisa mali sio fresh.
Mxiuu oneni huruma wanajamii mtamaliza nyama zote buchani sijui mtauza nini mnaua hadi watoto wenu mmh!Nyie tulieni nyieeee. Tukiwa hatuna hela mnatuambia tutafte mara oh sijui nguvu za kiume. Yani mm ukileta za kupenda watu wenye hela nakutoa wewe nipate hela nioe mdogo wako tuishi vizur
Achane kuwaza uchawi, nendeni mkafanyiwe uchunguzi wa kina hospitali.Hivi hua inasababishwa na nini[emoji848][emoji848].. maana my ciccy nae imetoka 3 times na hatuelewi shida nini, hata bwanake nae anashangaa[emoji848][emoji848]
At least wewe umeongea point ya kueleweka... ofcourse bado tunaendelea nae na vipimo zaidi na zaidi, hatuwezi kumkatia tamaa mapema hiviAchane kuwaza uchawi, nendeni mkafanyiwe uchunguzi wa kina hospitali.
π¬πππ ππππ πππππ ππππ ππππKuna mwanamke mmoja nipo nae hapa kichanga kimetoka juzi...
Kafara hiyoo...
Hii ni mimba ya 4 inatoka
Dunia ishachanika hii.Kakiri mwenyewe sasa kwanini tusiseme
Unamaanisha DAB huyu huyu Katibu MweneziMuulize bashite
Matumiz holela ta p2 na misoprosol pill ndio mnaita kafara ,haya bhna.[emoji847]Kuna mwanamke mmoja nipo nae hapa kichanga kimetoka juzi...
Kafara hiyoo...
Hii ni mimba ya 4 inatoka
Ndioo nawezaUnaweza kuyatolea ushahidi unayoyaongea
Serikali haiusiki na uchawi so kumshtaki ni ngumu analipa fainiDunia ishachanika hii.
Kwa nini huyo jamaa asishtakiwe attempting murder
Huyu ni mke sio hawara unaenda kula na malaya unaua damu yako na mke wako hiyo ni shameMkome kupenda hela
Kuna mwanamke mmoja nipo nae hapa kichanga kimetoka juzi...
Kafara hiyoo...
Hii ni mimba ya 4 inatoka