Kwanini wanaume wa Dar mnakuwa hivi?

Chakula rahisi kupatikana usiku ndo hicho kama hautaki... uwe unapika mapema kabla njaa hazijawabana
 
Dah...yaani unakaa wiki 2 kwa mshikaji...halafu anakuletea chips kila siku...tena usiku...hatari sana...dah [emoji2960]

Sent using Beretta ARX 160
 
Acha umaandaz unaendaje kwa mshikaji wako unakaa muda wote huo kindezi ndezi tu na kusubiria kuletewa tu msosi Wa bure kisha unakuja kulalamika hum, c urudi kwenu Kama huwezi kujihudumia , wabongo bana huu wote ni uvivu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania bhana ety ili uonekane mwanaume wa kweli ni ule ugali mkubwa na maharage.

We kula chakula unacho ona kinanogesha itaji la moyo wako, nguvu za kiume ushujaa utaishia futi 6 chini
Akili finyu kuzani uanaume ni kula ugali tena donna, hao ndio wanatembea vifua mbele kabisa😂😂😂
 
Kuna mmoja alienda abroad akamiss "nguna" za kijijini kwao wakamwambia huku mahindi tunalima kwaajili ya kulisha ng'ombe na nguruwe tu, kwenda kwenye supermarket za kuuza vyakula vya kiafrika bei ya packet ya unga ilimtoa jasho, saizi kasahau kabisa hizo mambo.
 
Akili finyu kuzani uanaume ni kula ugali tena donna, hao ndio wanatembea vifua mbele kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]

Wanasahau kula vyakula vilivyo na virutubisho ,kula mlo kamili wanadhani kula ugali ni afya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…