Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 7,841
- 17,491
Hapo mate yamekutoka.Daaaah!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo mate yamekutoka.Daaaah!!
Mtusamehe tu misosi huku ni yakumwaga kyepee ni kama anasa huku kwetu!ha ahaaWanangu mnakula sanaa semaa.
Kwani unajua nilichokua nafanya usiku?Sasa huo ushamba wenu si kila mtu anauweza we umeona wapi mtu ale "ugali mkubwa" usiku kwani unaenda kupigana??
Unaweza kuta wewe umekulia bush kabisa na wazazi wako wa bush na wamekuwa wakila ugali kwa sana tu, ila umeenda mjini miaka 10 tu basi unaudharau ugali!Akili finyu kuzani uanaume ni kula ugali tena donna, hao ndio wanatembea vifua mbele kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah pole sana kiongozi, kwa taarifa tu nimezaliwa muhimbili hapo, na sasa natimkia ughaibuni, inshaalah hata nikifa huku mwili wangu utarudi kuhifadhiwa kwenye jiji la mzizima washamba mnalolikurupukia.Unaweza kuta wewe umekulia bush kabisa na wazazi wako wa bush na wamekuwa wakila ugali kwa sana tu, ila umeenda mjini miaka 10 tu basi unaudharau ugali!
Mafuta ya chips mpaka yamekubadilisha akili kabisa na kujiona una big mind, kumbe empty set kabisa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuta wewe umekulia bush kabisa na wazazi wako wa bush na wamekuwa wakila ugali kwa sana tu, ila umeenda mjini miaka 10 tu basi unaudharau ugali!
Mafuta ya chips mpaka yamekubadilisha akili kabisa na kujiona una big mind, kumbe empty set kabisa!
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂Shida ndio inaanzia hapo kuona "zege" anasa hapo tu.Mtusamehe tu misosi huku ni yakumwaga kyepee ni kama anasa huku kwetu!ha ahaa
Mbona hujamtaghizo chips ni umelala na njaa na umeanzisha mgogoro wa kunya
Bora hata chips dume... hivi MWANAUME inakuwaje kushindia kyepe yai??Unaweza kuta wewe umekulia bush kabisa na wazazi wako wa bush na wamekuwa wakila ugali kwa sana tu, ila umeenda mjini miaka 10 tu basi unaudharau ugali!
Mafuta ya chips mpaka yamekubadilisha akili kabisa na kujiona una big mind, kumbe empty set kabisa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha haaaa kyepe yai ndo 'zege' huko Dar au?basi kaaazi kwelikweli!😂😂Shida ndio inaanzia hapo kuona "zege" anasa hapo tu.
MDAU: Nimekuja hapa Dar kwa rafiki yangu wiki ya pili sasa ananiletea chipsi usiku, nikimuuliza kwanini anasema eti ndio chakula cha haraka, namwambia niwe napika anasema inapoteza muda.
Kwanini mnakuwa hivi?
View attachment 1374866
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16]Nipo hapa nakula dona mixa muhogo na ngano yaani mtamu balaa hasa mboga iwe samaki mkavu au nyama ya mbuzii...usiku nikilala naota ndoto za mahaba tu!umenipata.
Naona umebonyeza overrideWatanzania bhana ety ili uonekane mwanaume wa kweli ni ule ugali mkubwa na maharage.
We kula chakula unacho ona kinanogesha itaji la moyo wako, nguvu za kiume ushujaa utaishia futi 6 chini
Wanasahau kula vyakula vilivyo na virutubisho ,kula mlo kamili wanadhani kula ugali ni afya