rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba nikuCHAGUE uWE mwaliMU wangu unipe SHORT COURseWoiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo tu usijali. Malipo ni kabla ya course[emoji23]
Sio vizuri kutania wenzio utani unaoelekeana na ukweli.Nakwambia utani wangu unanifanya nitupiwe mawe ya kutosha na wachagga[emoji23][emoji23][emoji23]
Tupo sana sms tunaandika vizuri sana[emoji23][emoji23][emoji23]wanapita tu kimya kimya
Watani zangu bna
Hela ipo .mnamiliki simu Kali ila kuandika sms ni shida.
hawatumii condom wale
Sent using Jamii Forums mobile app
Na condom mnatumia?
Hahahahaha umeamua kuonyesha mfanosA uNAKuta uMEmpatA mCHAga WA ndANi NdanI huKo, unATegEMea kuPAta rOMaNtic tEXt kWeli.!
Hilo tu usijali. Malipo ni kabla ya course[emoji23]
Sawa Mangi tutaanza kesho
Mimi binafsi sijawahi kutumia condoms sijui wengineNa condom mnatumia?