Kwanini wanaume wa kichaga hawajui kuandika sms?

Watani zangu bna
Hela ipo .mnamiliki simu Kali ila kuandika sms ni shida.
Yaani ukidate mchaga sahau romantic sms.hata akiandika haina mvuto full macapital letters yamemiksiwa na small letters. Sms yenyewe fupi .
Ila kitu nawapenda ile button ya *150* [emoji16][emoji16]mko mpoa
Pia ni wanaume pekee ambao hamuachi uchakavu
Pia mnajua kuoa sana.yaani wadada ukiona umefulia nenda kwa mchaga hukosi mtoto au mume hawatumii condom wale

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nani amekutuma ujaribu wanaume wote wa kichaga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watani zangu bna
Hela ipo .mnamiliki simu Kali ila kuandika sms ni shida.
Yaani ukidate mchaga sahau romantic sms.hata akiandika haina mvuto full macapital letters yamemiksiwa na small letters. Sms yenyewe fupi .
Ila kitu nawapenda ile button ya *150* [emoji16][emoji16]mko mpoa
Pia ni wanaume pekee ambao hamuachi uchakavu
Pia mnajua kuoa sana.yaani wadada ukiona umefulia nenda kwa mchaga hukosi mtoto au mume hawatumii condom wale

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣 Jf bana..Watakuwa wanafunzi tu hao bado wanajifunza kuunga sentensi
 
Back
Top Bottom