Kwanini wanaume wa kichaga hawajui kuandika sms?

Kwanini wanaume wa kichaga hawajui kuandika sms?

NaKUpeNDa SanA mIsS nAtAFUta, YaNi UkIWa KaRibU yaNGu hAlI yA UkAMe InaKUJa MdOMonI nA ghAFlA NahITaJi MajI bAriDI kuTOKa MDOMONI kWakO.
Atakuwa na matege ya ndani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

kutoka: 22D Arnold st.
 
Watani zangu bna
Hela ipo .mnamiliki simu Kali ila kuandika sms ni shida.
Yaani ukidate mchaga sahau romantic sms.hata akiandika haina mvuto full macapital letters yamemiksiwa na small letters. Sms yenyewe fupi .
Ila kitu nawapenda ile button ya *150* [emoji16][emoji16]mko mpoa
Pia ni wanaume pekee ambao hamuachi uchakavu
Pia mnajua kuoa sana.yaani wadada ukiona umefulia nenda kwa mchaga hukosi mtoto au mume hawatumii condom wale

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani mtu anajitangaza alivyo mzururaji( kuna njia moja tu kujua fulani anatumia condom au hatumii hence wewe ni ******) na anajiona yuko sawa kabisa!!! Tunakolekea sijui itakuaje...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom