Kwanini wanaume wa kichaga hawajui kuandika sms?

Watani zangu bna
Hela ipo .mnamiliki simu Kali ila kuandika sms ni shida.
Yaani ukidate mchaga sahau romantic sms.hata akiandika haina mvuto full macapital letters yamemiksiwa na small letters. Sms yenyewe fupi .
Ila kitu nawapenda ile button ya *150* [emoji16][emoji16]mko mpoa
Pia ni wanaume pekee ambao hamuachi uchakavu
Pia mnajua kuoa sana.yaani wadada ukiona umefulia nenda kwa mchaga hukosi mtoto au mume hawatumii condom wale

Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo mistari ya mwisho ndio lilikua lengo lako......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watani zangu bna
Hela ipo .mnamiliki simu Kali ila kuandika sms ni shida.
Yaani ukidate mchaga sahau romantic sms.hata akiandika haina mvuto full macapital letters yamemiksiwa na small letters. Sms yenyewe fupi .
Ila kitu nawapenda ile button ya *150* [emoji16][emoji16]mko mpoa
Pia ni wanaume pekee ambao hamuachi uchakavu
Pia mnajua kuoa sana.yaani wadada ukiona umefulia nenda kwa mchaga hukosi mtoto au mume hawatumii condom wale

Sent using Jamii Forums mobile app
aisey najiona mimi mtupuuuuu😛😛
 
tUKo bIze KuTutA hEla hAtuNA mUda wA kUrEmba sMS..mTukomE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom