Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,368
- 7,935
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahaaa hawajui hata kucopyalafu na yy baadae ana copy na kupest akutumie tena 😀😀😀
Mnajulikanahiyo ya condom nimeipenda, nabeba condom kwenye show nazipotezea
Mna hela gani mkuu?Hivi kwanini mwezi hauishi lazima Wachagga tusemwe humu JF and other social meadia streams?
Ni kwamba vyasaka MNA nyegezi na sisi Wachagga sana au ni roho mbaya tuu itokanayo na inferiority complex rooted from ur poverty of lower level inasmuch compared to Chagga???
Sababu ya wizi wenuHivi kwanini mwezi hauishi lazima Wachagga tusemwe humu JF and other social meadia streams?
Ni kwamba vyasaka MNA nyegezi na sisi Wachagga sana au ni roho mbaya tuu itokanayo na inferiority complex rooted from ur poverty of lower level inasmuch compared to Chagga???
Khaaaaa!Ila nasikia ni walegevu
Wanaume wa kichaga sio waongeaji sana, angetaja wanaume wa kizaramo kwa Sasa kashakimbia uzi wake 😄😄😄[emoji3][emoji23] wamejificha
Aikambee nta mooondu foNimetaja hela wapi?
Au k inakuwasha hore wewe?
Ninajua wachaga mabilionea ila sms kuandika wote ziro.Wewe umekutana na wachaga walioishia lasaba halafu wapo bize kutafuta hela.
Anajibu msg Mara Mangi nipimie mchele nk
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi wazaramo wamo humu?Wanaume wa kichaga sio waongeaji sana, angetaja wanaume wa kizaramo kwa Sasa kashakimbia uzi wake [emoji1][emoji1][emoji1]
Ahahaaa sijawai kuona mwanaume wa kizaramo.hivi huwa wapo?Wanaume wa kichaga sio waongeaji sana, angetaja wanaume wa kizaramo kwa Sasa kashakimbia uzi wake [emoji1][emoji1][emoji1]