GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kiungwana tu nakupa masaa 24 ufute kauli yako, ya kwamba sisi, waha, wanaume wa shoka wa kigoma, ni washamba na tunalogwa na wake zetu.Na Wanaume wanaoongozwa Kurogwa vibaya na Wanawake ( Wake / Wapenzi ) ni kutokea Mikoa ya Kagera kwa Wahaya, Singida kwa Wanyiramba na Wanyaturu, Kigoma kwa Washamba wa Kudumu Waha, Dodoma kwa Warangi, Mwanza kwa Wakerewe na Tabora kwa Wanyamwezi.
Kwanini Sisi Wanaume wa Mkoani Mara ( Musoma ) huwa haturogeki na hata Wanawake zetu / Wapenzi wetu wakiwaza tu kwenda Kuturoga huingiwa na Uwoga na hatimaye kuwa tu Wapole na kutuachia Utawala katika Nyumba na Mahusiano yetu?
Natamani mno Kurogwa na Mpenzi.
Kama Aliyekuzaa.huyu jamaa sijui amekuja kuwaje,
huenda haya ni matokeo ya kurogwa!
🥴Kama Aliyekuzaa.
Uchawi Upo na hata vitabu vitakatifu vina tuthibitishia hilo.Uhalisia uchawi haupo. Ni mchezo wa kisaikolojia tu kumfanya mtu awe na imani kwamba uchawi upo na una nguvu
Mkuu... Ni wewe kweli umeandika? 😂Na Wanaume wanaoongozwa Kurogwa vibaya na Wanawake ( Wake / Wapenzi ) ni kutokea Mikoa ya Kagera kwa Wahaya, Singida kwa Wanyiramba na Wanyaturu, Kigoma kwa Washamba wa Kudumu Waha, Dodoma kwa Warangi, Mwanza kwa Wakerewe na Tabora kwa Wanyamwezi.
Kwanini Sisi Wanaume wa Mkoani Mara ( Musoma ) huwa haturogeki na hata Wanawake zetu / Wapenzi wetu wakiwaza tu kwenda Kuturoga huingiwa na Uwoga na hatimaye kuwa tu Wapole na kutuachia Utawala katika Nyumba na Mahusiano yetu?
Natamani mno Kurogwa na Mpenzi.
Uchawi Upo na hata vitabu vitakatifu vina tuthibitishia hilo.
"Wakawapitisha watoto wao, waume na wake, motoni, wakapiga ramli, wakafanya uchawi, wakajiuza nafsi zao wapate kufanya yaliyo maovu machoni pa Bwana, hata kumkasirisha"
2 Wafalme 17:17
Wachawi Wana nguvu ya kuziingilia mamlaka wakapitisha au kuondoa ajenda zao.Vitabu vitakatifu vimeandikwa na watu kama mimi na wewe maelfu ya miaka iliyopita. Wakati wanaandika katika zama za giza uelewa wa watu ulikuwa mdogo sana.
Hata sheria za zamani za ulaya na marekani kulikuwa na hukumu za wachawi mahakamani.
Ila baada ya kugundua uchawi haupo. Hizo sheria zimefutwa hakuna kesi za wachawi tena mahakamani.
Uchawi ni imani za kisaikolojia tu.
Yaonekana bado hujui kuwa hujui kama uchawi Upo. Ipo Siku utajua !!Vitabu vitakatifu vimeandikwa na watu kama mimi na wewe maelfu ya miaka iliyopita. Wakati wanaandika katika zama za giza uelewa wa watu ulikuwa mdogo sana.
Hata sheria za zamani za ulaya na marekani kulikuwa na hukumu za wachawi mahakamani.
Ila baada ya kugundua uchawi haupo. Hizo sheria zimefutwa hakuna kesi za wachawi tena mahakamani.
Uchawi ni imani za kisaikolojia tu.
Yaonekana bado hujui kuwa hujui kama uchawi Upo. Upo Siku utajua !!
Yaonekana bado hujui kuwa hujui kama uchawi Upo. Upo Siku utajua !!