GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nasikia Wanawake wapendelewa mno na Mwenyezi Mungu uwezo mkubwa wa kuwa na Saikolojia Kubwa na Kali pamoja na Uwezo mkubwa wa Akili kuliko Wanaume.
Tafadhali nijibuni upesi kwani kuna Mtu simuelewi simuelewi hivi na nahisi Gari yangu nzuri ya Kibaiolojia jana Asubuhi niliposafiri ghafla kwenda Morogoro na kurejea Dar es Salaam Usiku kuna Dereva Mwingine ameiendesha sana na Kuichosha kwani nimejaribu kuiwasha Alfajiri hii imekataa kuwaka halafu ni kama vile leo haina hamu kabisa ya Kuendeshwa nami.