Kwanini Wanaume Wakichiti hujulikana upesi na Wanawake zao, ila Wanawake Wakichiti kamwe Wanaume hawagundui?

Wasemavyo wajuaji wa mambo

Wanaume wanafanya tendo kwa hamu tu na tamaa yaani akimtamani mwanamke yeye anaamua tu kwenda naye tu alafu basi hawi na mawazo naye tena mpaka amuhitaji

Ila

Wanawake wanafanya kwa upendo yaani mpaka aamue kufanya tendo na mtu/mwanaume anakuwa ana asilimia fulani za kumpenda kikweli kweli so ndio maana baada ya tena mawasiliano na mawazo kwa huyo aliyeshiriki nayeye tendo yanakuwa mengi na ndipo anapojulikana kuwa anatoka na huyo fulani, so akifanya anafanya kwa upendo na kama anahamu anazimaliza zote yaani habakiwi hata na kidogo coz akili yake yote anaiweka kwa hiyo mchitiji mwenzake
True na lazima amdharau mmewe,
 
Nakazia, siku ukimkamata mwanamke kacheat ujue amenza kama miaka miwili au mitatu nyuma.
Ila mwanaume sasa, akipata babe mpya usiku kesho yake tu unamgundua maana hatulii
Hao ni wale limbukeni Kuna wanaume huwezi jua utahisia tu harafu unayemhisi ndo siye
 
Nakazia, siku ukimkamata mwanamke kacheat ujue amenza kama miaka miwili au mitatu nyuma.
Ila mwanaume sasa, akipata babe mpya usiku kesho yake tu unamgundua maana hatulii
Kweli kabisa
 
Umetoa siri yao,ngoja waje[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nasikia Wanawake wapendelewa mno na Mwenyezi Mungu uwezo mkubwa wa kuwa na Saikolojia Kubwa na Kali pamoja na Uwezo mkubwa wa Akili kuliko Wanaume.

Tafadhali nijibuni upesi kwani kuna Mtu simuelewi simuelewi hivi na nahisi Gari yangu nzuri ya Kibaiolojia jana Asubuhi niliposafiri ghafla kwenda Morogoro na kurejea Dar es Salaam Usiku kuna Dereva Mwingine ameiendesha sana na Kuichosha kwani nimejaribu kuiwasha Alfajiri hii imekataa kuwaka halafu ni kama vile leo haina hamu kabisa ya Kuendeshwa nami.
1: Mwanamke akichiti ni rahisi sana kugunduliwa na mwanaume kwasababu mwanamke akisha chit anaanza zarau tena wakati mwingine anajisahau anakuambia iga wanaume wenzako sasa wewe jiulize kawajuaje wanaume wezangu. Mbaya zaidi anakua na kujishtukizia mara kwa mara

2: Mwanaume mpumbavu akichiti anajulikana na mkewe kwasababu anamuacha mchepuko aendelee kugandana nae ili hali anajua nyumbani ana mke .

3: Ni ngumu kumgundua mwanaume mwenye akili pale anapo chiti, kwasababu mwanaume mwenye akili anachit kwa uangalifu kugawa upendo huko nje ili hali hapo hapo ana mlinda mkewe asipoteze amani ya moyoni
 
Nakazia, siku ukimkamata mwanamke kacheat ujue amenza kama miaka miwili au mitatu nyuma.
Ila mwanaume sasa, akipata babe mpya usiku kesho yake tu unamgundua maana hatulii
Labda wa kwako huyo,Kuna nini Cha ajabu mpaka nisitulie?
 
The same reason mwanaume akidinda anajulikana na mwanamke you never know km kadinda au la🤪🤪🤪

Back
Top Bottom