GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mwanaume mpumbavu ndio anaweza acha mambo ya msingi na kufuatilia mwanamke.Nasikia Wanawake wapendelewa mno na Mwenyezi Mungu uwezo mkubwa wa kuwa na Saikolojia Kubwa na Kali pamoja na Uwezo mkubwa wa Akili kuliko Wanaume.
Tafadhali nijibuni upesi kwani kuna Mtu simuelewi simuelewi hivi na nahisi Gari yangu yangu nzuri ya Kibaiolojia jana Asubuhi niliposafiri ghafla kwenda Morogoro na kurejea Dar es Salaam Usiku kuna Dereva Mwingine ameiendesha sana na Kuichosha kwani nimejaribu kuiwasha Alfajiri hii imekataa kuwaka halafu ni kama vile leo haina hamu kabisa ya Kuendeshwa nami.
Huwa wanaume tunatumia hekima tunakausha tu maana tuna mambo mengi yakufanya,, na ndiyo maana siku tukichoka huwa hatusuruhishiki kiurahisi.....Nasikia Wanawake wapendelewa mno na Mwenyezi Mungu uwezo mkubwa wa kuwa na Saikolojia Kubwa na Kali pamoja na Uwezo mkubwa wa Akili kuliko Wanaume.
Tafadhali nijibuni upesi kwani kuna Mtu simuelewi simuelewi hivi na nahisi Gari yangu yangu nzuri ya Kibaiolojia jana Asubuhi niliposafiri ghafla kwenda Morogoro na kurejea Dar es Salaam Usiku kuna Dereva Mwingine ameiendesha sana na Kuichosha kwani nimejaribu kuiwasha Alfajiri hii imekataa kuwaka halafu ni kama vile leo haina hamu kabisa ya Kuendeshwa nami.
Sio kwa hawa wanawake wa sasa ivi..Wasemavyo wajuaji wa mambo
Wanaume wanafanya tendo kwa hamu tu na tamaa yaani akimtamani mwanamke yeye anaamua tu kwenda naye tu alafu basi hawi na mawazo naye tena mpaka amuhitaji
Ila
Wanawake wanafanya kwa upendo yaani mpaka aamue kufanya tendo na mtu/mwanaume anakuwa ana asilimia fulani za kumpenda kikweli kweli so ndio maana baada ya tena mawasiliano na mawazo kwa huyo aliyeshiriki nayeye tendo yanakuwa mengi na ndipo anapojulikana kuwa anatoka na huyo fulani, so akifanya anafanya kwa upendo na kama anahamu anazimaliza zote yaani habakiwi hata na kidogo coz akili yake yote anaiweka kwa hiyo mchitiji mwenzake
Umeongea ukweli mtupu [emoji419][emoji419][emoji419][emoji375]Nakazia, siku ukimkamata mwanamke kacheat ujue amenza kama miaka miwili au mitatu nyuma.
Ila mwanaume sasa, akipata babe mpya usiku kesho yake tu unamgundua maana hatulii
wanaume tuna papara sanaNasikia Wanawake wapendelewa mno na Mwenyezi Mungu uwezo mkubwa wa kuwa na Saikolojia Kubwa na Kali pamoja na Uwezo mkubwa wa Akili kuliko Wanaume.
Tafadhali nijibuni upesi kwani kuna Mtu simuelewi simuelewi hivi na nahisi Gari yangu nzuri ya Kibaiolojia jana Asubuhi niliposafiri ghafla kwenda Morogoro na kurejea Dar es Salaam Usiku kuna Dereva Mwingine ameiendesha sana na Kuichosha kwani nimejaribu kuiwasha Alfajiri hii imekataa kuwaka halafu ni kama vile leo haina hamu kabisa ya Kuendeshwa nami.
Ndo maana tukifumwa tunavunjwa viuno 😀😀maana mtu anawaza marazote ulizoenda huko na style ulizofanya 😂Nakazia, siku ukimkamata mwanamke kacheat ujue amenza kama miaka miwili au mitatu nyuma.
Ila mwanaume sasa, akipata babe mpya usiku kesho yake tu unamgundua maana hatulii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakazia, siku ukimkamata mwanamke kacheat ujue amenza kama miaka miwili au mitatu nyuma.
Ila mwanaume sasa, akipata babe mpya usiku kesho yake tu unamgundua maana hatulii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo maana tukifumwa tunavunjwa viuno [emoji3][emoji3]maana mtu anawaza marazote ulizoenda huko na style ulizofanya [emoji23]
Ni rahisi kumgundua mwanamke kuliko mwanaume.. mwanamke huwa anacheat Kwa feelings kabisa kiasi ambacho kama umemzoea Kuna changes utaziona.. mwanaume unaweza ukacheat alafu ukarudi Kwa wife mapenzi ukazidisha yani[emoji23][emoji23][emoji23]Nasikia Wanawake wapendelewa mno na Mwenyezi Mungu uwezo mkubwa wa kuwa na Saikolojia Kubwa na Kali pamoja na Uwezo mkubwa wa Akili kuliko Wanaume.
Tafadhali nijibuni upesi kwani kuna Mtu simuelewi simuelewi hivi na nahisi Gari yangu nzuri ya Kibaiolojia jana Asubuhi niliposafiri ghafla kwenda Morogoro na kurejea Dar es Salaam Usiku kuna Dereva Mwingine ameiendesha sana na Kuichosha kwani nimejaribu kuiwasha Alfajiri hii imekataa kuwaka halafu ni kama vile leo haina hamu kabisa ya Kuendeshwa nami.
Ni rahisi kumgundua mwanamke kuliko mwanamke.. mwanamke huwa anacheat Kwa feelings kabisa kiasi ambacho kama umemzoea Kuna changes utaziona.. mwanaume unaweza ukacheat alafu ukarudi Kwa wife mapenzi ukazidisha yani[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwisho wa siku umewahi ona wanaume wakaacha kucheat kisa mwanamke amejua?Mwanaume mpumbavu ndio anaweza acha mambo ya msingi na kufuatilia mwanamke.
Pili wanawake wanatabia za kusimuliana na kufuatilia watu na umbea kiasi akikuona mahala anaenda kumwambia shoga ake ,shoga wa shogake na ujinga kama huo.
Mwisho wa siku umewahi ona wanaume wakaacha kucheat kisa mwanamke amejua?
Wanawake gani unaomaanisha hapa? Hii hii generation ya wadangaji na kausha damu?Wasemavyo wajuaji wa mambo