Kwanini wanaume waliooa huacha kuwashirikisha wenza wao kwenye vyanzo vyao vya mapato?

Point
 
Duh pole sana huyo mwanamke hana future yoyote na anajua pesa zipo kama umeshamjua yuko hivyo bora abaki kulea familia tu
 
Wengi hufa mke na watoto huteseka ka mnafichana vitu vyenu Bora muachane Kuna mtu alikuwa na Mali hajashirikisha mtu ndugu, wala watoto na hivo vitu vitapotea bure tena maeneo ya biashara mjini
Atakutana na wosia kutoka kwa mwanasheria ukielezea kila kitu.
 
Lazima mkae na muelewane vitu vinavoenda, Sasa Hadi kutoa msaada ilete shida kweli?
Aaargh Mimi mtu tusiyeongea same language Bora tuachane tu mana ni unafiki kati yenu na no love at all
Lugha moja ni key ya success kwenye mahusiano yoyote yale yenye malengo chanya!

Tuwe pamoja tusikwazane na ili iwe hivyo lazma tukubaliane katika vitu ambavyo kila mmoja anapenda na kuchukia. Its not that kila uhusiano uta work but through putting efforts. Kingine ni uaminifu huu ndio utafanya transparency iwe nyepesi na kutokuwa na ubinafsi!

Sasa wengine roho za kinyongorilo na choyo hela yako ila ukimpa flani anachukia.
 
Sio wote ndugu huenda uliyempata hawezi kujua maisha yapoje na yeye anatak nn kweny maisha yake
Naelewa sio wote wana tabia hio ila tu nafahamu majority ya wanawake ukimuonesha unaingiza kiasi gani kwa mwezi ataanza kukuletea budget zake za ajabu na kutaka kufosi maigizo yake sababu hela anajua ipo!

Kuna mambo huwa mnang’ang’aniza mfanyiwe na wengine bila aibu utashangaa anakumaindi kabisa hio million na nusu yote inafanya kazi gani kama kunipa laki tu ya kusuka huwezi? Tunaishi kimaskini humu tununue TV mpya smart!

Kuna mwanamke baada ya kujua jamaa yake analipwa laki 8 baada y kujifungua akawa anafosi huduma za mtoto atumiwe hela ya pampaz maziwa na mazaga zaga mengine! Jamaa hela ikawa ndogo sababu anakatwa kodi za paye, nssf na mazaga mengine bado house rent analipa kwa hela hio hio hela ikawa haitoshi na mwanamke ana kazi ila hela yake hataki kugusa kumlea mtoto wao! Akamwambia hio laki 8 yote unafanyia nini kama huwezi nitumia ninunue pampers?
 
Ni kweli pia.
 
Tatizo tunakosea sana katika kuchagua wenza kipindi cha uchumba
 
Language na understanding kwa weakness za mpenzi wako ni key, but majority huwa na ubinafsi for instance mtu ana matumizi mabaya badala ya kupanga budget na kufanyia ya maana, Kuna wanawake wakiolewaga tu ukoo mzima unaamia hapo bila aibu, na mke atataka nduguze tu wasaidiwe ila wa ndugu wa mume hataki ka si ubinafsi wa kiwango Cha lami ni nini?
 
Hilo ndio janga lenyewe sasa😅!!!
Mwanamke gubu kama lote yani mumewe asaidie mashemeji zake tu ila ndugu zake wanalishwa michicha tu yani😅
 
Wacha vipotee tu si ni jasho lake[emoji28]
Mwanamke wa kibongo ukimpa record ya unachoingiza lazma ahakikishe anajua kila senti ilivyotumika hata ukisaidia ndugu yaweza kuwa lawama
Mimi mke wang huwa namshilikisha hadi nikitaka kuwatumia ndugu zangu na marafiki zangu ole wake aniingilie kwenye hiyo mipango ambacho huwa naweza kumwambia ni atoe ushauri tu na sio kunikataza kuihudumia familia yangu.

Nimesha ona mwanamke nikwenda nae kikomando mda mwingine, udikteta unahitajika hapaswi kukujua saaana kiundani.

Kwanza nashukuru Mungu bahati nzuri mke wangu huwa ananisapoti ninacho fanya na hata kupanga matumizi kila mwisho wa mwezi.
 
Hahahahahah una Moyo kweli! Wengine anakupinga hamna kutuma hela huko😅 ukituma ndani unanuniwa week zima na papuchi hupewi!
 
Ukimuona mwanamke wa hivyo nilimbukeni wa maisha napia kakulia katika mazingira duni hivyo kapata nafac yakuwa namwanaume mweny kiuwezo kidogo au anafanya kazi. Yeye hatojali kipato cha mwanaume ataanza kufany upuuzi wake anaoujua.
Huwa nawashangaa wengine wanadai Dada wakaz wawepo majumban ikiwa yeye hana kaz ya maana ukimuuliza mbona hivi atakujib mbona flan anadada wa kazi sasa huyu usimshangae kwanza nimshamba wa maisha, pili anaishi maisha ya kujionesha, Tatu hajui anataka nn kwny maisha yake .

Kwa mwanamke mweny kujielewa huwa anafocus kupamban kufikia uchumi wakati kula vzr au urembo wwt kwake anakuwa hana muda nao ila anachoangalia baada ya miaka kadhaa tuwe wapi, wanangu wataish mazingira gan, je tukiumwa tutatoa wapi pesa ya kutuuguza hapo lazm apambane na kushirikiana na mumew kuwekeza ili kuondokana na umaskin.

Elimu ya maisha yapaswa kutolewa kwa jinsia yakike kuwa sote tunawajibu wa kutengeneza familia iliyo bora katika nyanja zote nakama ikiwezekan kuwe kunamgawanyo wa pesa kila mtu achangie kiasi kuendesha familia
 
Pamoja na yote hayo mke ndio alikua kiongozi wa kunilaumu kuwa baba Nina roho mbaya na sipendi familia yangu kwa kuto weka tv watoto waangalie makatuni binafsi sikusikiliza la mtu zaidi ya kuwaamjia Kama wanaona hapa nyumbani hapawafai kisa hakuna tv waende wanako kujua wao wataishi maisha wanayo yataka na nilikua serious hata mke angeondoka na watoto potelea mbali kwanza watakua wamenisaidia kubakiwa na bili chache ili nijijenge haraka .

Huo ndio uanaume, mwanamke akijua unamsimamo hawezi fanya upuuzi juu ya maamuzi aisee, na mimi huwa nafanya hivyo na ndio maana mke wangu kaishajua kuwa akijichanganya tu kaisha.
 
Hajui maisha yapoje tena? [emoji28] Yani mtu mzima asijue anataka nini kwenye maisha yake tena!
View attachment 2031575
Tafsiri ipo humu
Yes wapo wengi tu tena nawengine wanaumri mkubwa ukimuuliza unamalengo gan au ndoto gan kweny maisha yake bado hajui chochote. Hata ukimuuliza wew ni nani hajijui sasa huyu tumuwek kundi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…