Ila tunatakiwa sote tutambue maisha ya sasa yapoje na yanahitaj nini ili kufika tunapopatak. Kwasasa hatuhitaj tena kuwa na upande wakutegemea na mwngn wakutegemewa Sababu hali imekuwa ngumu.Sasa this was what i was trying to explain japo from my own point of view!
Hapo kuna mwanamke ambaye yupo tayari to work with you as a team kujenga future yenu! Mwanamke wa hivyo hawezi kuficha hela zake au kuwa mchoyo na hela zake pale ambapo atakuwa anahitajika kutoa support!
Wanaume wengi ni wahanga wa mistreatments za wanawake wabinafsi na wachoyo to an extent wanahisi kuwa wanawake wapo sahihi kuwa mistreat!
Tunapaswa kushirikiana as a team na kupamban na hali ya sasa.
Ila katika haya yote wapo wanaume wapuuzi ambao wanatengeneza vzr na mkewe ila mwishoe anaenda kumpa mchepuko nakuanza kutumia pesa hovyo hovyo paspo kujali kuwa hata mkew anahaki yakuzitumia hizo pesa. Wakielezwa huwa wakorofi na kutengeneza sabb ya kuachana na mkewe ndio maana usishangae mke kujenga kivyake pasipo mume kujua hii inatokan na nyie wanaume kuvunja imani ya mwanamke huyu mvumilivu