Ukimuona mwanamke wa hivyo nilimbukeni wa maisha napia kakulia katika mazingira duni hivyo kapata nafac yakuwa namwanaume mweny kiuwezo kidogo au anafanya kazi. Yeye hatojali kipato cha mwanaume ataanza kufany upuuzi wake anaoujua.
Huwa nawashangaa wengine wanadai Dada wakaz wawepo majumban ikiwa yeye hana kaz ya maana ukimuuliza mbona hivi atakujib mbona flan anadada wa kazi sasa huyu usimshangae kwanza nimshamba wa maisha, pili anaishi maisha ya kujionesha, Tatu hajui anataka nn kwny maisha yake .
Kwa mwanamke mweny kujielewa huwa anafocus kupamban kufikia uchumi wakati kula vzr au urembo wwt kwake anakuwa hana muda nao ila anachoangalia baada ya miaka kadhaa tuwe wapi, wanangu wataish mazingira gan, je tukiumwa tutatoa wapi pesa ya kutuuguza hapo lazm apambane na kushirikiana na mumew kuwekeza ili kuondokana na umaskin.
Elimu ya maisha yapaswa kutolewa kwa jinsia yakike kuwa sote tunawajibu wa kutengeneza familia iliyo bora katika nyanja zote nakama ikiwezekan kuwe kunamgawanyo wa pesa kila mtu achangie kiasi kuendesha familia