Kwanini wanaume wananunua dada poa?

Hamna kitu kibaya hasa kwa mapenzi ya siku hizi, kulithaminisha tendo la ngono kwa fedha, ndio maana linapoteza maana na kusababisha hata ndoa zionekane hazina maana kwani kuna wengine wanauziwa ngono kwenye ndoa zao.

Sometimes unashindwa kutofautisha malaya na mke,sababu mwisho wa siku wote wanataka pesa,bila pesa ngono/mapenzi hamna.

swala la mwanaume kupata faraja wakati anapitia hali ngumu ya kiuchumi siku hizi wanaoweza ni wanawake wachache mno, ila wengi hawawezi wengine wanawakimbia mpaka waume zao,ambao mwanzoni unakuta alikuwa na hali nzuri ya kiuchumi ila kuteteleka kidogo mke anakimbia.

Sometimes ukifikiria sana unaona hata hawa wapenzi tulio nao wanatuuzia.Hata hizi kelele za kutusema wanaume ni wabahili, ukichunguza sana utakuja kugundua kwamba wanwake wengi wanapenda luxury, ila wanaume wengi wana uwezo wa kutimiza mahitaji ya msingi ya mwanamke na si luxury hizi wazitakazo.
 
Very true...kwa uelewa wa wote...tutajie matumizi ya msingi ni yapi na yasiyo ya msingi ni yapi..

Kingine kitu kuwa Cha msingi na sio msingi ni subjective...mfano unadate na slay queen ye kutokana na maisha yake aliyozoea hawezi tumia simu ya kawaida, atataka iphone aflex, ajisnap, etc.. atataka mda wote awe amesuka na anakucha nzuri.. atataka nguo na viatu vingi...asa huwezi sema sio vya msingi..

So hoja yako nimeelewa..lakini hata wew Leo hii demu akupe k Bure everyday si utamchukulia Hana thamani na kumwita cheap, utajiuliza anawapa hivyo wangapi even though anakupa we tu.. so ndo hivyo.
 
Kupewa K cheap haina maana anagawa kwa wengine bure, kuna wanawake japo wapo wachache mno wana hela na wapo tayari kuwa chini ya mwanaume, wanatoa K bila hata kuomba senti.

Thamani ya mwanamke hupimwa kwa utulivu wake,heshima,utu kwa mwanaume aliye naye. Hamna mwanaume anaye mwacha mwanamke kisa anampa K bure.
 
So masela hamna mpango wa kuwafanya Malaya wa run out of business
 
Una picha hapo tuone?
 
Tabia za hovyo za kutaka kujaribu vitu vya ajabu ndio vinafanya wafanye hayo.!!
 
Unajua mnavoongea humu mnadhani kila mwanaume ana uwezo wa kupata kirahisi mdada wa ku-sex nae, nakwambia asilimia 85 ya wanaume hata wakitongoza mara kwa mara, bado wana-struggle kupata wanawake wa ku-date nao.

Kama kutongoza na kupata papuchi ingekuwa ni rahisi, basi madada poa wasingekuwa na soko kubwa, majority ya wanaume wanaoenda kununua dada poa, wananunua kwasababu kila wakitongoza wanakataliwa, so wanaona kujipoza, kuliko wapige nyeto bora wakanunue papuchi.

SimbaMpole123 Extrovert Lamomy Mzee wa kupambania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…