SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
- Thread starter
- #161
So solution ni mademu wapunguze gharamaKwa sababu ni bei poa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So solution ni mademu wapunguze gharamaKwa sababu ni bei poa
🤣🤣🤣Mseme tu🤣Jamani
Very true...kwa uelewa wa wote...tutajie matumizi ya msingi ni yapi na yasiyo ya msingi ni yapi..Hamna kitu kibaya hasa kwa mapenzi ya siku hizi, kulithaminisha tendo la ngono kwa fedha, ndio maana linapoteza maana na kusababisha hata ndoa zionekane hazina maana kwani kuna wengine wanauziwa ngono kwenye ndoa zao.
Sometimes unashindwa kutofautisha malaya na mke,sababu mwisho wa siku wote wanataka pesa,bila pesa ngono/mapenzi hamna.
swala la mwanaume kupata faraja wakati anapitia hali ngumu ya kiuchumi siku hizi wanaoweza ni wanawake wachache mno, ila wengi hawawezi wengine wanawakimbia mpaka waume zao,ambao mwanzoni unakuta alikuwa na hali nzuri ya kiuchumi ila kuteteleka kidogo mke anakimbia.
Sometimes ukifikiria sana unaona hata hawa wapenzi tulio nao wanatuuzia.Hata hizi kelele za kutusema wanaume ni wabahili, ukichunguza sana utakuja kugundua kwamba wanwake wengi wanapenda luxury, ila wanaume wengi wana uwezo wa kutimiza mahitaji ya msingi ya mwanamke na si luxury hizi wazitakazo.
Kupewa K cheap haina maana anagawa kwa wengine bure, kuna wanawake japo wapo wachache mno wana hela na wapo tayari kuwa chini ya mwanaume, wanatoa K bila hata kuomba senti.Very true...kwa uelewa wa wote...tutajie matumizi ya msingi ni yapi na yasiyo ya msingi ni yapi..
Kingine kitu kuwa Cha msingi na sio msingi ni subjective...mfano unadate na slay queen ye kutokana na maisha yake aliyozoea hawezi tumia simu ya kawaida, atataka iphone aflex, ajisnap, etc.. atataka mda wote awe amesuka na anakucha nzuri.. atataka nguo na viatu vingi...asa huwezi sema sio vya msingi..
So hoja yako nimeelewa..lakini hata wew Leo hii demu akupe k Bure everyday si utamchukulia Hana thamani na kumwita cheap, utajiuliza anawapa hivyo wangapi even though anakupa we tu.. so ndo hivyo.
So masela hamna mpango wa kuwafanya Malaya wa run out of businessKupewa K cheap haina maana anagawa kwa wengine bure, kuna wanawake japo wapo wachache mno wana hela na wapo tayari kuwa chini ya mwanaume, wanatoa K bila hata kuomba senti.
Thamani ya mwanamke hupimwa kwa utulivu wake,heshima,utu kwa mwanaume aliye naye. Hamna mwanaume anaye mwacha mwanamke kisa anampa K bure.
Kubadilika kwenye tabia yoyote kunaanza kwa muhusika mwenyewe kuishinda tamaa.So masela hamna mpango wa kuwafanya Malaya wa run out of business
Sasa mashoga wanahusika nn? Hivi hamuwezagi kukaa bila kujadili mashoga?dada si ni wanawake au ni majini?
acha ubaguzi ,wote ni wanawake.
ungehoji why watu wanakula mashoga ungekuwa na logic
Okay so tatizo ni wanaume wana tamaa...sawa nimekuelewaKubadilika kwenye tabia yoyote kunaanza kwa muhusika mwenyewe kuishinda tamaa.
NimemshangaaSasa mashoga wanahusika nn? Hivi hamuwezagi kukaa bila kujadili mashoga?
😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣 I see.Hawanunui, wanakodisha.
😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣 I see.Hawanunui, wanakodisha.
Una picha hapo tuone?Habari wanajukwaa
Kama mnavyoiona swali Katika kichwa hicho Cha habari. Hili ni swala serious sana na watu hulikemea na kutafuta suluhisho bila kujua tatizo
Kila siku tunaskia mara dadapoa wamekamatwa wapi cjui...ila hatujiulizi why wanaongezeka badala ya kupungua.
Naamini Katika maisha Kuna demand side na supply side. Ukisema uzuie dadapoa unakuwa hujasolve tatizo la wanaotumia hao dadapoa.
So inabidi tuulize, why wanaume hutumia dadapoa. Siulizi kusema vibaya mtu yoyote, coz tunatofautiana Imani, mapenzi, hisia, mitazamo etc. na kutumia dadapoa ni kama kupiga puli hamna mwanaume atakubali ila ndo wengi hufanya kwa siri. ..
Sipo hapa kujua nani anafanya nini Nataka nipate Sababu tu zinazodhaniwa kufanya wanaume kufata dadapoa. Kwanzia watoto mpaka wababa wenye wake na watoto...madadapoa wengine wana wateja mpaka watano kwa siku...
Kwa nini na Kuna mademu mitaani, maofisini, vyuoni, nyumbani nk...
Sababu zinazosemwa ni
Kutoridhika na mahusiano au ndoa
Mapenzi siku hizi ni gharama so hamna tofauti na kununua dadapoa
Wengine hawaenjoy mademu normal wanapenda mambo mazuri mazito
Na kadhalika
So wanajukwaa...waume kwa wakike
Why why why
Naomba majibu
Picha ya niniUna picha hapo tuone?
😁😂😂Eti, mjomba kameza shoka.