Kwanini wanaume wananunua dada poa?

Kwanini wanaume wananunua dada poa?

Unajua mnavoongea humu mnadhani kila mwanaume ana uwezo wa kupata kirahisi mdada wa ku-sex nae, nakwambia asilimia 85 ya wanaume hata wakitongoza mara kwa mara, bado wana-struggle kupata wanawake wa ku-date nao.

Kama kutongoza na kupata papuchi ingekuwa ni rahisi, basi madada poa wasingekuwa na soko kubwa, majority ya wanaume wanaoenda kununua dada poa, wananunua kwasababu kila wakitongoza wanakataliwa, so wanaona kujipoza, kuliko wapige nyeto bora wakanunue papuchi.

SimbaMpole123 Extrovert Lamomy Mzee wa kupambania
Sawa nimekuelewa
 
⚫Hofu ya kutongoza wanawake wa kawaida

⚫Shida za kiuchumi - mana kuhudumia sio mchezo

⚫Makundi
 
Sometimes mtu anaweza asiwe na mpango ila vile chura inavyoji represent. Pisi hua zinakuaga na vituko sana wakat zinafosi kingi.
Tunakaribiana kuwaza!

Mi mwanamke akiniringia, kunidhulumu chochote, kunikopa akakataa kulipa na aina nyingine ya ushenzi kunifanyia, hisia zangu hupanda na kushitukia namtaka.

Kitendo cha kumlala huhisi makandokando yote mwilini mwangu kutoka.

Yaani kuanzia chuki, kisirani na vinyongo vyote hutoweka kwa mkupuo baada ya tendo.

Kumbe sasa uasherati saazingine ni dawa ya sonona.
 
  • Dada poa hawaombi hela ya Gesi wala wazazi wao hawaumwi ghafla pale utakapo onyesha nia ya kuhitaji kipochi manyoya.
  • Hawana usumbufu kwenye suala la budget huwa wana Price tag kabisa.
  • Baada ya kukupatia huduma hana usumbufu wa kukutumia meseji wala kukupigia simu za kukuuliza 'umekula baby?' 'ulikuwa wapi?' 'ulikua unaongea na nani?'
  • Next time hata mkikutana ukiwa na demu mwingine yeye hana noma, atakupa hi tu.
Ni wazuri sana kama haupendi maisha ya kitoto toto na drama za kijinga jinga. Kwa watu tunaopenda amani ya moyo na ku concentrate kwenye mambo mengine ya msingi wanatuokoa sana.
Mkuu hapa umeongea points za maana sana
 
Unajua mnavoongea humu mnadhani kila mwanaume ana uwezo wa kupata kirahisi mdada wa ku-sex nae, nakwambia asilimia 85 ya wanaume hata wakitongoza mara kwa mara, bado wana-struggle kupata wanawake wa ku-date nao.

Kama kutongoza na kupata papuchi ingekuwa ni rahisi, basi madada poa wasingekuwa na soko kubwa, majority ya wanaume wanaoenda kununua dada poa, wananunua kwasababu kila wakitongoza wanakataliwa, so wanaona kujipoza, kuliko wapige nyeto bora wakanunue papuchi.

SimbaMpole123 Extrovert Lamomy Mzee wa kupambania
Hahahaa kweli

Na unaweza ukawa na demu au mke na bado ukaenda kununua madada poa
 
Habari wanajukwaa,

Kama mnavyoiona swali Katika kichwa hicho Cha habari. Hili ni swala serious sana na watu hulikemea na kutafuta suluhisho bila kujua tatizo.

Kila siku tunaskia mara dadapoa wamekamatwa wapi cjui...ila hatujiulizi why wanaongezeka badala ya kupungua.

So inabidi tuulize, why wanaume hutumia dadapoa. Siulizi kusema vibaya mtu yoyote, coz tunatofautiana Imani, mapenzi, hisia, mitazamo etc. na kutumia dadapoa ni kama kupiga puli hamna mwanaume atakubali ila ndo wengi hufanya kwa siri.

Sipo hapa kujua nani anafanya nini Nataka nipate Sababu tu zinazodhaniwa kufanya wanaume kufata dadapoa. Kwanzia watoto mpaka wababa wenye wake na watoto...madadapoa wengine wana wateja mpaka watano kwa siku.

Kwa nini na Kuna mademu mitaani, maofisini, vyuoni, nyumbani nk. Sababu zinazosemwa ni:
  • Kutoridhika na mahusiano au ndoa
  • Mapenzi siku hizi ni gharama so hamna tofauti na kununua dadapoa
  • Wengine hawaenjoy mademu normal wanapenda mambo mazuri mazito
  • Na kadhalika
So wanajukwaa, waume kwa wake, why why why? Naomba majibu.
Uzuri wa dadapoa hawakatai ni hela yako tu
 
Wanawake wote hata mkeo ni dadapoa, utofauti ni jinsi wanavojiuza. Sasaiv wameboresha inaitwa hookup lkn mwendo ni ule ule. Mwanamke ambaye unalala nae kwa lengo umpe chochote k2 ni dadapoa, hata mchepuko wako na hao mademu mtaani na maofisini. Naomba kuwasilisha. # No malice to anybody
Hahaha
 
  • Dada poa hawaombi hela ya Gesi wala wazazi wao hawaumwi ghafla pale utakapo onyesha nia ya kuhitaji kipochi manyoya.
  • Hawana usumbufu kwenye suala la budget huwa wana Price tag kabisa.
  • Baada ya kukupatia huduma hana usumbufu wa kukutumia meseji wala kukupigia simu za kukuuliza 'umekula baby?' 'ulikuwa wapi?' 'ulikua unaongea na nani?'
  • Next time hata mkikutana ukiwa na demu mwingine yeye hana noma, atakupa hi tu.
Ni wazuri sana kama haupendi maisha ya kitoto toto na drama za kijinga jinga. Kwa watu tunaopenda amani ya moyo na ku concentrate kwenye mambo mengine ya msingi wanatuokoa sana.
Well said
 
Back
Top Bottom