Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
Nigeria in nchi ya kwanza utajiri Africa unafuatiwa na South Africa.....nchi masikini zaidi Africa majority raia ni catholics.Nchi 5 zinazoongoza duniani kwa ndoa za wake wengi, zote ziko Afrika na ni nchi maskini sana.
Nchi zenye viwango vya juu vya kipato na elimu kama nchi za Ulaya na hata zile mashariki ya kati kama UAE na Quatar ndiyo zinaongoza kuwa na idadi ya chini zaidi ya wanaume waliooa mke zaidi ya mmoja (ingawa zile za kiislamu sheria zao zinawaruhusu kufanya hivyo.)
- Burkina Faso: 36%
- Mali: 34%
- Gambia: 30%
- Niger: 29%
- Nigeria: 28%
Je ni ukosefu wa elimu, tamaa za kimwili au waafrika kwa kiwango kikubwa ndiyo wameumbiwa haja za ziada zinazolazimu kuwa na mke zaidi ya mmoja?
View attachment 3245042
Source
Only about 2% of the global population lives in polygamous households
Mbona Tanzania haimo?!Nigeria in nchi ya kwanza utajiri Africa unafuatiwa na South Africa.....nchi masikini zaidi Africa majority raia ni catholics.
1. Congo Brazzaville
2.Burundi
3.DRC
4.malawi
5.zambia
6.mozabique
7.uganda
8.Rwanda nk.
Kwani Tanzania mojority ni catholocs au Muslims?Mbona Tanzania haimo?!
Kivyovyote ila kwenye umaskni tupoKwani Tanzania mojority ni catholocs au Muslims?
*Catholics siyo catholocsKwani Tanzania mojority ni catholocs au Muslims?
Ni kweli raia wa Tanzania ni masikini ila nchi ni tanjiri ilio jaa wezi na mafisadi.Kivyovyote ila kwenye umaskni tupo
Lack of CapitalNchi 5 zinazoongoza duniani kwa ndoa za wake wengi, zote ziko Afrika na ni nchi maskini sana.
Nchi zenye viwango vya juu vya kipato na elimu kama nchi za Ulaya na hata zile mashariki ya kati kama UAE na Quatar ndiyo zinaongoza kuwa na idadi ya chini zaidi ya wanaume waliooa mke zaidi ya mmoja (ingawa zile za kiislamu sheria zao zinawaruhusu kufanya hivyo.)
- Burkina Faso: 36%
- Mali: 34%
- Gambia: 30%
- Niger: 29%
- Nigeria: 28%
Je ni ukosefu wa elimu, tamaa za kimwili au waafrika kwa kiwango kikubwa ndiyo wameumbiwa haja za ziada zinazolazimu kuwa na mke zaidi ya mmoja?
View attachment 3245042
Source
Only about 2% of the global population lives in polygamous households
Si kweliNigeria in nchi ya kwanza utajiri Africa unafuatiwa na South Africa.....nchi masikini zaidi Africa majority raia ni catholics.
1. Congo Brazzaville
2.Burundi
3.DRC
4.malawi
5.zambia
6.mozabique
7.uganda
8.Rwanda nk.
Kwa mjibu wa takwimu zipi mkuu?*catholics
Kipi ambacho sio kweli kwamba Malawi ni tajiri au Birundi?Si kweli
Ila kama unabisha, nipatie chanzo chako cha taarifa (source)
Ni nusu kwa nusuKwani Tanzania mojority ni catholocs au Muslims?
Kila kitu ulichoandika kwenye hiyo reply. Una takwimu zozote za kubackup ulichosema? mfano Nigeria ni nchi tajiri zaidi barani Afrika, umetumia kigezo au data zipi kufikia hiyo conclusion?Kipi ambacho sio kweli kwamba Malawi ni tajiri au Birundi?