Kwanini wanaume wanaoongoza kwa kuoa wake wengi wanatoka nchi maskini?

Kwanini wanaume wanaoongoza kwa kuoa wake wengi wanatoka nchi maskini?

Ukiangalia, kuoa wake wengi kuna uhusiano na Imani zao:

Burkina Faso:ina waislam 64% na wakristo 20%
Mali:ina waislam 95% na wakristo 5%
Gambia: ina waislam 96% na wakristo 3.5%
Niger:ina waislam 98% na wakristo 2%
Nigeria:ina waislam 64% na wakristo 20%
 
Chukua Hii.

Nchi unazo ziona Masikini Wananchi wao ni matajiri.

Nchi unazo ziona ni tajiri Wananchi wake ni masikini.

Ukienda kama marekani, Watu wananunua nyumba kwa mkopo wa me & ke, Ukija bongo watu wanajenga ma mansion kwa hela zao
 
Namba hazidanganyi, inatafakarisha 🤔
 
Chukua Hii.

Nchi unazo ziona Masikini Wananchi wao ni matajiri.

Nchi unazo ziona ni tajiri Wananchi wake ni masikini.

Ukienda kama marekani, Watu wananunua nyumba kwa mkopo wa me & ke, Ukija bongo watu wanajenga ma mansion kwa hela zao
Unajua utajiri au umaskini wa nchi unapimwa kwa vigezo vipi?

Nakuhakikishia structure ya mikopo na namna ya kujenga nyumba, siyo kipimo kilichojitosheleza cha uchumi wa nchi. Pia mimi niko bongo na nimejenga nyumba kwa mkopo na nafahamu watu wengine ambao wamefanya hivyo pia. Sidhani kama hiyo generalization yako ni sahihi.
 
Maskini hana anachowaza zaidi ya chini tu hujiulizi kwanini maskini ndowanaongoza kua na watoto wengi
nani kakwambia maskini ndio wana watoto wengi? Angalia nchi zinazoongoza kwa idadi kubwa ya watu kisha urudi hapa.
 
Asa mkuu we shida ako nini? Kila mtu ana kipaumbele chake hata ukioa mmoja kama umeandikiwa kufa fukara utakufa fukara... ukijaliwa oa wa4 yanini uteseke roho jamani!? Dunia tunapita hakuna kitakachobadilika kwanini usifaidi mema ya nchi 😆?
 
nani kakwambia maskini ndio wana watoto wengi? Angalia nchi zinazoongoza kwa idadi kubwa ya watu kisha urudi hapa.
Leta mifano mkuu kwa ulichoandika no 1 ntakwambia india je hali zao kiuchumi wengi wao zikoje?
 
Wanasaidia kuondoa umaskini !

Matajiri Wana michepuko yao pia!na ndoa na mikataba ndio mpango mzima!
 
Acheni watu waoe wake wengi.... Make mmoja anatesa sana mnadekishwa nyumba mnaosha vyombo mnawafulia bikini yaani ni shida. Wake zaidi ya mmoja Raha akikukera huyu unakimbilia Kwa yule hata life expectance inaongezeka Kwa sababu unakuwa kwenye zone of free stress
 
Back
Top Bottom