Kwanini wanaume wanaoongoza kwa kuoa wake wengi wanatoka nchi maskini?

Kwanini wanaume wanaoongoza kwa kuoa wake wengi wanatoka nchi maskini?

Kila kitu ulichoandika kwenye hiyo reply. Una takwimu zozote za kubackup ulichosema? mfano Nigeria ni nchi tajiri zaidi barani Afrika, umetumia kigezo au data zipi kufikia hiyo conclusion?
Kuna undisputed facts ambazo hazihitaji kuhoji kama we ni mtu wa media, ila kama we ni mgeni needa Google uingize most poorest countries in Africa.....hizo nchi zote zitakuja tu
 
Muafirika bila kuwa na rundo la wanawake huwa anajiona kama hajakamilika.
Na bahati mbaya kuna wengine wanatumia kivuli cha dini kumiliki wanawake ambao mwisho wa siku hawana uwezo wa kuwahudumia, wengine dini yao hairuhusu kuoa zaidi ya mwanamke mmoja lakini wana rundo la michepuko huko nje.
Uko sahihi kabisa, hulka na tabia zetu lazima zibadilike.
 
Kuna undisputed facts ambazo hazihitaji kuhoji kama we ni mtu wa media, ila kama we ni mgeni needa Google uingize most poorest countries in Africa.....hizo nchi zote zitakuja tu
Opinions are not facts, jifunze kutafuta taarifa sahihi na kuacha kupotosha.

IMG_1959.jpeg

Source
 
Back
Top Bottom