Kwanini wanaume wanaoongoza kwa kuoa wake wengi wanatoka nchi maskini?

Tangu kale jamii zetu za kiafrica wake wengi ni ufahari utajiri na mamlaka , hakuna kapuku anaweza kuwa na wake wengi.
Nenda nchi ya β€œMali” ukawaone makapuku wenye wake wengi. Itakustaajabisha na kukusikitisha pia, sijawahi kuona kiwango kile cha umaskini 😞
 
Acha watumie nyeti zao kihalali bwana 🀣🀣🀣
 
Mbona wauliza jibu?
Starehe ya masikini ni kujamiiana.
Wattot wanaopatikana wanaingizwa kwenye soko la cheap labour.
 
Nigeria sio masikini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…