Kwanini wanaume wanapenda kufanya hivi wakati wa ku-sex?

Kwanini wanaume wanapenda kufanya hivi wakati wa ku-sex?

mimi nikiona unakodoa nabadilisha mkao maana utanikata stimu

Sent using Jamii Forums mobile app
Machejo yakikolea jeuri hiyo huna! utabaki unakenua tuuuuu! mimeno hiyo! kama umepigwa shot vile! yaani huwaga nacheeeka nikiwaangalia wanawake! sipati picha hawanaga uvumilivu wakati wa kojole!

utasikia eti oooh! nakuacha....... hee! uniache mimi! kweli! na mambo yetu haya yooote! ya kutetema! haya nenda tuone!
 
Ili tuone unavyopokea mkung'uto. Maana wengine wana pretend. Pia inasaidia kuvuta hisia
Hivi kwanini wanaume wakati wa ku sex wanapenda kuangalia machoni. Wanakuwa wanafanya huku wanaangalia mwanamke machoni direct, hawaangalii pembeni. Halafu wakiwa wanafanya hivyo wanaongeza na speed ya ku sex. Kwanini huwa mnapenda kuangalia machoni? Kuna sababu gani ya kufanya hivi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu kubwa kuona mwanamke anavyopokea mapigo yako,tukiona unafurahia ndo tunazidisha.Hapa inabidi mwanamke arembue,alegeza macho kidogo na agune gune au kulalamika.

Tukiona mwanamke anakukodolea mimacho tu,tena uso mkavu tunajua haridhiki au hana hamu ya tendo,hapa watu kama mimi tunatulia na tunauliza 'whats wrong babe, are you ok ? '.


Sent using Jamii Forums mobile app

😎😎😎😎 jinga sana. Eti are you okay?
 
"Whats wrong babe,are you ok ?". Kanuni za kunukuu kitu (quote) inabidi unukuu sentensi nzima sio kuchukua kipande inafupisha maana.
Umeandika kwa asira kipi kimekuuzi sasa.
Ngoja nikupe 'context' labda hujaelewa kitu.Upo unapiga gemu,unamwangalia mwanamke anakuangalia tu uso mkavu,si lazima umuulize sababu sio kawaida,hapo sasa ndo hiyo sentensi hapo juu unaileta.

Sent using Jamii Forums mobile app

Umeniperceive vibaya mkuu. Paragraph yako kwa ujumla wake imenifurahisha sana. Hizo statement ndizo tuzisemazo. I just remembered my case.
 
Back
Top Bottom