Kwanini wanaume Wapole na wastaarabu huwapenda wanawake ambao hawajatulia?

kweli ila wanatia huruma maana hawana say,ila wanafaidi sana maana wanapata vitu vyenye viwango vya fifa sio vya mchangaji😂😂
Mmh ila hao wapole when comes to maamuzi ni makauzu hao na wana misimamo. Mi nawapenda wapole naonaga ni wastaarabu flani japo wengine ni wazee wa kimya kimya ile😛
 
Endeleeni kutuchukulia poa tu. Kwa taarifa tu ni kwamba huwa tunawala kimyakimya micharuko na wakimya wenzetu na hatutaki mbwembwe wala matangazo.

Hao micharuko tunapowala wanajitangaza mitaani ndo maana yanasanuka, siku mademu wakimya nao wakiweza kutangaza mtatuogopa sana.
 
Mmh ila hao wapole when comes to maamuzi ni makauzu hao na wana misimamo. Mi nawapenda wapole naonaga ni wastaarabu flani japo wengine ni wazee wa kimya kimya ile😛
Hii komenti umenisema.. watu na experience zenu..😂
 
Habari wadau..!

Naomba leo tujadili hoja hapo juu kuhusu hawa wajamaa wapole halafu Mungu anawakutanisha na magubegube, kwanini?
Mungu anataka hao wanaume wawatulize,,,sasa unashangaa nini hapo

hahahahahhahaha
 
Mmh ila hao wapole when comes to maamuzi ni makauzu hao na wana misimamo. Mi nawapenda wapole naonaga ni wastaarabu flani japo wengine ni wazee wa kimya kimya ile[emoji14]
Hapa kwenye hili kundi utanipata Mimi[emoji16] ni mpole sn..na kiukweli niliye naye ni mcharuko kwelikweli,Ila ananiohopa kishenzi.huwa anasema Nina misimamo ya ki Islamic state

And ofcoz siku niliyompata ilikuwa kimasihara lkn ndy nikajikuta tumegandana
 
Dah kweli mkuu mm mpole Ila dem wang hana hata aib yaan kila rafik yang anamvaa kumkumbatia mabusu jaman mm iv siwez nimeamua kutafut mwingin
 
Reactions: Cyb
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…