akajasembamba
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 1,179
- 1,794
Wanawake magubegube wana uwezo wa kuwateka wanaume waliotulia ila hawawezi kuwadaka wanaume chakaramu wenzi waoHabari wadau..!
Naomba leo tujadili hoja hapo juu kuhusu hawa wajamaa wapole halafu Mungu anawakutanisha na magubegube, kwanini?