Kwanini wanaume wasasa wamekalia malalamiko na kusahau nafasi na majukumu yao kama vichwa vya familia?

I don’t think its possible uwe baba halafu hau interact na watoto wako! Utakuwa sio baba wa kiafrika aisee...au labda awe ni mtoto wa kufikia
 
I don’t think its possible uwe baba halafu hau interact na watoto wako! Utakuwa sio baba wa kiafrika aisee...au labda awe ni mtoto wa kufikia
Yes it is very possible and happens daily actually.Hivi baba ambae hata diaper hajawahi kubadili,kulisha mtoto hajawahi au kumhudumia akiumwa,hata kukaa chini kucheza na mtoto hajawahi .Baba ambae yeye ni source of income tu au anakuwepo kumgombeza na kumadhibu mtoto unaita hio interaction?
 
Dah sizungumzii hilo tu ila sijui inakuwa ngumu kwa akili yangu kuona baba asiye na upendo hata wa kumbeba mtoto
 
Kwanini unafikiri hili suala ni battle.Mbona linakuwa practised na watu wengi na linafanya kazi vyema.Ila inabidi mtazamo mzima wa mfumo dume ubadilike haliwork na mfumo dume.
 
Hivo vitu unavyoviongelea ww ni materialistic na sio vya muhimu kama mwanamke anaingiza kipato cha 2M anapaswa avitekeleze mwenyewe ila ofcoz ni pride kwako kama mwanaume ukimfanyia mkeo lkn kwangu mimi vitu vingine ni kujiendekeza.Ni vyema kama upo kwenye utafutaji wa mwenza tafuta natural woman sio materialized ones!
 
Kwanini unafikiri hili suala ni battle.Mbona linakuwa practised na watu wengi na linafanya kazi vyema.Ila inabidi mtazamo mzima wa mfumo dume ubadilike haliwork na mfumo dume.
Mfumo dume ndio maisha na hizo battle ndio mambo ya kuforce 50/50! Hata demokrasia ina kipengele cha kutambua utawala japo mawazo ya wengi ndio chachu ya demokrasia!

50/50 yenu haitambui uwepo wa utawala! Inalazimisha Equity ambayo haipo na haitakaa iwepo!
 
Reactions: Cyb
Uko sahihi sababu pia wanaolalamika humu jukwaani wengi ni materialistic! So do you?
 
Heshima ni kitu ambacho unakipata ukikitoa,it goes both ways.Kama heshima inakuwepo upande mmoja tu ni kwasababu ya fear sio kwasababu u deserve it !
 
Heshima ni kitu ambacho unakipata ukikitoa,it goes both ways.Kama heshima inakuwepo upande mmoja tu ni kwasababu ya fear sio kwasababu u deserve it !
Sasa kwani bf wako toka mlipotongozana mkaanza kuwa pamoja dhima yenu hasa ilikuwa kuleteana dharau?

Kama mliheshimiana mkatongozana na kukubaliana sioni sababu ya mtu kukuletea shida! Unless otherwise awe a wrong guy ambaye intentionally alitaka ku swap papuchi tu!

Ila a serious guy ambaye mpaka mahari ametoa kwenu huyo ni mtu ambaye wa kuheshimu na sidhani kama atakuletea mambo ya kijinga! Matatizo ni pale mazoea yanapozidi na kujisahau ila kama wote mnacheza vyema kwenye nafasi zenu no problem.
 
Mbususu unapewa kwa ratiba![emoji23][emoji23][emoji23]

Well, tuishi nao kwa akili. Huyu jamaa aloandika vitabu vitakatifu alikuwa smart sana.
Kwa mtu ambae anaelewa misingi ya ndoa hawezi kutoa unyumba kwa ratiba.Ndoa ni kihalalisho cha uzinzi so dhumuni ni umpe mwenzio haki yake ipasavyo!
 
Kwa mtu ambae anaelewa misingi ya ndoa hawezi kutoa unyumba kwa ratiba.Ndoa ni kihalalisho cha uzinzi so dhumuni ni umpe mwenzio haki yake
Lakini si inajulikana mnatoa kwa ratiba?
 
Usigeneralize vitu!Kama ni applicable kwako nakupa pole kubwa sana!
Malalakmiko ya wanaume juu ya hilo yameongezeka lately, hivyo tunafanya assumption kwamba wengi wanapitia hiyo changamoto. Im not talking about me, it's general bwana!
 
Ofcourse rafiki dhima ni kuheshimiana,kuvumiliana,kupendana, kusaidiana n.k so tusifanye kusaidiana ni tatizo i think wanaume wengi wana inferiority complex kwamba akifanya hivyo jamii itamchukulia sio kamili au ana mapungufu which is very wrong actually!Kwa watu wanaopractise hili life is very easy na inajenga ukaribu mkubwa hata kati ya wenza!
 
Malalakmiko ya wanaume juu ya hilo yameongezeka lately, hivyo tunafanya assumption kwamba wengi wanapitia hiyo changamoto. Im not talking about me, it's general bwana!
Ok itabidi uanzishwe uzi maalumu kwa wanawake kuhusiana na suala hilo!Hapa sio sehemu yake!
 
Dah sizungumzii hilo tu ila sijui inakuwa ngumu kwa akili yangu kuona baba asiye na upendo hata wa kumbeba mtoto
Kubeba mtoto is nothing hata stranger anaweza kumbeba mtoto na isilete tofauti yoyote!
Mtoto anakumbuka vitu kuanzia umri wa miaka 3?Je wewe unakumbuka babaako kukuogesha?kukulisha?kukunawisha ukienda haja? Au likihitajika lolote kuhusiana na hilo akiitwa mwanamke?
 
Uko sahihi sababu pia wanaolalamika humu jukwaani wengi ni materialistic! So do you?
Mimi sio materialistic person mine i am as natural as i can be!Halafu unafikiri dhumuni la mwanamke kuingia kwenye ndoa ni kupata dhihaka tu kwasababu unaposema umeoa ili ukirudi nyumbani upumzike na uondoe stress unamaanisha mwanamke ni kama chombo chako cha starehe?
Hakuna mwanamke anayetaka stress.Dhumuni la ndoa watu mujenge familia na mufurahi pamoja!Kama kuna stress ujue something is wrong somewhere kwenye ndoa nzima!
 
Hiko kitu kipo na kinakuwa practised kama hujui ndo nakutaarifu ujue!Na heshima ipo palepale mwanaume anabaki kuwa mwanaume!
 
Ok itabidi uanzishwe uzi maalumu kwa wanawake kuhusiana na suala hilo!Hapa sio sehemu yake!
Hoja ndogo zinaibuka ndani ya mjadala, huwezi kuweka dimension moja watu kujadili bwana. Acha tuwe huru kujadili the way we feel like.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…