Kwanini wanaume wasasa wamekalia malalamiko na kusahau nafasi na majukumu yao kama vichwa vya familia?

Kama mkeo ni mama wa nyumbani 100% na ww ni ndo breadwinner then hupaswi kupika deki kaka.Ila wote kama ni breadwinners mnapaswa kusaidiana na kama husaidii unamuelemea mwenzio!
 
Kama mkeo ni mama wa nyumbani 100% na ww ni ndo breadwinner then hupaswi kupika deki kaka.
Kwaiyo kama tunatoka asubuhi wote na tunarudi jioni wote ndo napaswa kupiga deki?

Mabint wa siku izi bana . Hata izo zamani mke na mume wanaenda shambani na wanatoka wote jioni na mke anafanya majukumu yote ya mama naya mke. Hakuna kipindi mwanaume na mwanamke wamewai kuwa sawa .

We ifanye iyo kanuni kwa mumeo ila usipotoshe mabint wengine kwa kuwaaminisha wewe kuwa na kipato kwenye familia ndo udhamani wako unaonekana
 
Hivi mwanamke ni punda kwako au yeye hachoki?Hao wa zamani hawakuwa na choice kaka.Huu ni wakati mwengine!Vitu vingine ni kukosa ubinaadamu sio hata mfumo dume!
 
Hivi mwanamke ni punda kwako au yeye hachoki?Hao wa zamani hawakuwa na choice kaka.Huu ni wakati mwengine!Vitu vingine ni kukosa ubinaadamu sio hata mfumo dume!
Hoja yako ni ipi maana naona una tatizo la kupangilia hoja. Unataka mwanaume msaidiane kwenye mambo yapi kwa mfano? Kazi za ndani kama kupika, kufua, kuosha vyombo n.k au zipi?

Mimi mke wangu anakazi na kipato kizuri na anafanya kazi zake zote mwenyewe unaweza ukasema hajitambui angetakiwa kunitunishia kifua kwasababu tu kuna pesa kachangia kiuchumi , ila hapo mimeoa mke na sio business partner.
 
Nimegundua hii 50/50 watu wanaidefine tofauti sana!But at the end of the it works either way!
 
Na kila kitu kama inawezekana sio uchumi tu!
Unajua kuna vitu tunavifanya kama pride kwa mwanamke ni pride kumuhudumia mumewe mfano kumpikia,kumfulia n.k na kwa mwanaume ni pride kuhudumia familia kiuchumi.Hivo vinawapa pande zote thamani na faraja fulani kwasababu unakuwa unatekeleza wajibu wako(gender role).Sisemi visifanyike la hasha ila kuna kipindi unaweza pia kusaidia upande mwengine kwasababu at the end of the day sote ni binaadamu.Mwanaume akipiga deki hakipungui kitu au akipika.Kama ww ni mwanaume bora utabaki kuwa mwanaume bora!
 
Nimegundua hii 50/50 watu wanaidefine tofauti sana!But at the end of the it works either way!
Don't worry, life's never been fair. 50/50 is just hypothetical, simamia nafasi yako kama mke na mama watoto wako, that's it. Ukitaka fairness ndani ya ndoa inaweza kukuletea shida hadi kufikia talaka, wanaume tunatawala na kuongoza, regardless ya usawa wa vipato. Bahati nzuri/mbaya kwa sasa wanawake wanatengeneza pesa sawa au zaidi ya wanaume, hivyo kutufanya baadhi yetu kuwa na inferiority which is understandable.

Kumbuka nguvu ya mwanaume ni PESA kwanza, mengine yanafuata. Mwanaume akikosa pesa hata nguvu za kidume zinapungua.
 
Kumbe basi kuna maali una feli bestie . Wanaume sisi inategemea unaishije na sisi . Mwanaume bora unamjenga mwenyewe. Ukimuonyesha mwanaume kuwa mnatakiwa msaidiane kazi za ndani hakuna mwanaume atakubali uo ujinga .

Ila mke wako akiwa na mapenzi flani ya kichokozi na kukujali kuna ka weekend unakuta tu unasema keo nataka nipike na unapika na kumbadilisha mtoto dippers . Kumbuka hapo mke ajakupangia zamu wala kukuambia nisaidie ili ila kutokana na mwanamke wako anavyoishi na wewe anakujengea utashi wa kufanya ivyo na sio kwasababu kafanya leo kesho unasema leo ni zamu yako kupika. Hell no.

Mwanamke ukijua ku mtreat mwanaume kama mume utayafurahia maisha ya ndoa na utaona mumeo ni mwanaume bora sana ever. Ila ukisubiri upate mwanaume ambaye utampangia kazi za ndani we tafuta mvulana ila sio mwanaume. Mwanaume mzuri anatengenezwa na mwanamke .
 
n
Its good ur following along it means this whole theme interests you 🤣🤣!
nipo bored ndo maana leo nimechangia sana ndani ya mwezi huu sio bandiko hili tu ila mapya yote kuanzia kwenye siasa hadi sports hebu pitia uone
 
Kwa mwanaume anayejitambua hilo si tatizo kabisa huhitaji hata kumwambia kila kitu kinaenda automatically.Mfano mzuri watu wanaofanya kazi wakati tofauti mnapishana ye anaingia asubuhi we unaingia usiku inabidi aliyopo nyumbani alee na atimize majukumu mengine,kuna vitu havina discussion au utafute housegirl umlipe we urelax.
Kumwambia mwanaume kupika leo zamu yako haitofanya kazi hilo nalielewa.Ila unaweza kuomba kistaarabu mume wangu leo nimechoka naomba unisaidie kupika!Au ww mwenyewe unaweza kuona kama mwenzako hayupo sawa unajitoa mhanga na kutelekeza yanayotakiwa kufanywa!
 
n
nipo bored ndo maana leo nimechangia sana ndani ya mwezi huu sio bandiko hili tu ila mapya yote kuanzia kwenye siasa hadi sports hebu pitia uone
Baada ya kusema uzi takataka ikisha bado unaufatilia...it prooves the opposite though!
 
ni takataka ndio ndio maana imekuwa rahisi kukuamisha ndani ya mada yako na kuanza kunijadili mimi
hahahahha
Kama takataka watu wasingechangia na usingekuwepo hapa umecha uzi zoteeee 🤣🤣 mi nasimamia uzi wote huu wachangiaji na wapondaji wakina ww!
 
Kama takataka watu wasingechangia na usingekuwepo hapa umecha uzi zoteeee 🤣🤣 mi nasimamia uzi wote huu wachangiaji na wapondaji wakina ww!
kuchangia au kukukandia asilimia 90 watu wamekupinga
anyway nataka nikutoe out upunguze stress
 
Kama mnaishi kwa 50/50 naamini hakuna malalamiko.
 
kuchangia au kukukandia asilimia 90 watu wamekupinga
anyway nataka nikutoe out upunguze stress
Huu ni mjadala kila mtu ana haki ya kutoa mchango wake positively na negatively.Sikuuleta kutegemea watu wote wanisapoti,tunajifunza wote!
 
Mwanamke ni yule anaeshnda nyumban na kulea watoto hawa wanaofanya kaz maofisin hao ni kama wanaume mwenzio tu.

Mwanamke kama anafanya kazi ofisin basi iwe ni yako wew uliemuoa tofauti na hapo utakuwa umeoa mwanaume mwenzio.

Na siku zote mwanaume aliyekamilika na anayejiamini anaweza kutekeleza majukumu yote ya familia hatakiwi kuoa mwanamke alieajiriwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…