Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
In general naamini walokuwepo hapa ndo tulokuwa nao mitaani!Wewe binafsi mtazamo wako juu wa hili upoje?Wanaume wa wapi hao?
Labda uniambie huko vijijini..ila mjini kama daslam babu tutakuwa tunadanganyana..Wanawake ni dependants sana kwa wanaume.Mwanaume aliambiwa atakula kwa jasho.
Mwanamke, utazaa kwa uchungu.
Siku hizi wanawake wanakula kwa jasho na bado wanazaa kwa uchungu wakati wanaume achilia mbali kutokuzaa, hata ile kula kwa jasho inawashinda.
Usipende kuingiza vitu ambavyo havihusiani na mjadala uliopo mezani!Jibu swali basi ili tujue mjadala utakuwa active au utatuacha njiani
Kama wote tunaingiza kipato na kujiimarisha pamoja kuna tatizo ikiwa 50/50?Si ni 50/50??
Ok, basi labda mimi ni exception maana sipo kabisa hivyo ulivyowaelezea!In general naamini walokuwepo hapa ndo tulokuwa nao mitaani!
Wewe upoje? Ili na wengine wapate mfano wa kuiga kutoka kwa veteran kama ww mkuu!Ok, basi labda mimi ni exception maana sipo kabisa hivyo ulivyowaelezea!
Labda uniambie huko vijijini..ila mjini kama daslam babu tutakuwa tunadanganyana..Wanawake ni dependants sana kwa wanaume.
Wewe ndio unatimiza majukumu yako yote au unamuongelea nani?Kamwe sikio haliwezi zidi kichwa..
Mwanaume kutimiza majukumu yake huwa inategemea upande wapili mke, mwanaume anahitaji msaidizi(mke) anaejitambua mwenye adabu, heshima na unyeyekevu kwa mume wake, mambo ya kumtunishia kifua mwanaume usitegemee familia kuwa na amani na kuyafanya majukumu yake vizuri
Jina langu lina tatizo gani Kichwa Kichafu?Hebu naomba ulisome lako kwanza na ujumbe lilobeba?Kwanza kabisa naanza na malalamiko juu ya jina lako hilo unatotimia hapa Jf.
Mkuu utafiti wako umefanya sampling kwa wanaume wa ngapi?
Tuanzie hapo kwanza taratibu taratibu!
Si nimesema sipo kama vile ambavyo umewaelezea…Wewe upoje? Ili na wengine wapate mfano wa kuiga kutoka kwa veteran kama ww mkuu!
Soma kwa utulivu uelewe usirukeruke kama popcorn,Wewe ndio unatimiza majukumu yako yote au unamuongelea nani?
Unamaanisha mwanamke kudai haki sawa ndo kutunisha kifua? Kama mwanamke anafanya kazi kama mwanaume na kujenga familia juu kuna tatizo akidai haki zake?
Na je hawa ambao wanafanya kazi wanaoonekana na mapungufu na si wife material kwasababu wapo independent?
SIJAKURUPUKA naona wewe ndio unajitoa fahamu!!Kwasababu unaepuka kujibu kila nilokuuliza!Soma kwa utulivu uelewe usirukeruke kama popcorn,
Hujaelewa nilichoandika umerukia kujibu kwa mihemko, nyie ndiyo mnafanya ndoa zenu zipitie tabu pasipokujua na kujilaani kisa mdomo mnaoengea sana,
Hakuna mwanaume atashindwa kutimiza majukumu yake kikamilifu ya kifamilia kwa mke wake kama anaejiheshimu yeye na kumheshimu mume wake,
Kaka mkubwa, kopi ya kupigiwa mfano, naongea kwa niaba ya wengi waliokaa kimya.Wanaume wa sasa mna matatizo gani haswa maana sielewi tatizo lenu ni kwamba hamtaki mabadiliko au akili zimeelemea kwenye mfumo dume au ni nini hasa?Hamna lilo la kheri kwenu,wanaume hamuishi malalamiko mnaongea hata kuwazidi wanawake, maana najua mwanamke ni itikadi yake kupenda kuongea.
Wanaume nyinyi wa karne hii mnataka mtu kama bibi zetu(kitabia na anavyojiweka) na wakati huohuo mnataka mwanamke aliyeelimika,mpenda maendeleo,mchapa kazi n.k ili musaidiane majukumu.
Mnasahau kama bibi zetu jukumu lake kubwa lilikuwa kujenga familia.Kama mwanamke anaingiza kipato kama ww au ikiwezekana kukuzidi wewe mwanaume usitegemee upewe treatment na mwaka 47 lazima mfumo mzima wa maisha ubadilike!
Hii ni 2021 inabidi mubadilike muendane na wakati uliopo waungwana!
Ninachojiuliza hasa ni kwamba mna hofu mkiwa na mwanamke aliyeelimika atawapa changamoto nyingi kwasababu amepambazuka akili na ana upeo wa kufikiri tofauti na ambaye hana elimu?na hamtoweza kumwambia lolote tu akubali bila kutaka kujua kwanini?
Je hilo litapunguza heshima kwenu au litaondoa uanaume wenu?
Tusisahau pia wanawake haohao wachapakazi ndo wanaozaa na kujenga familia kumaanisha wanabeba mzigo mzito kuliko hata wa mwaka 47!
Tuchukulie women empowerment ni kitu chenye manufaa kwa mwanamke na mwanaume na tuache kukandamiza wanawake kwasababu wamepata sauti na kuerevuka!
Tafadhali nahitaji michango ya watu mnaojielewa.Ahsanteni na karibuni!
Hongereni sana kwa wanaume mnaotambua majukumu yenu kama wanaume katika familia zenu na jamii kwa ujumla.Kaka mkubwa naongea kwa niaba ya wengi waliokaa kimya.
Nakuomba utuondoe wanaume tunaojua kuchukua majukumu ya kutatua matatizo ya familia, tena si immediate family tu, mpaka extended family.
Hapa ninavyoandika nimetoka kusawazisha mambo mpaka mtu kaimba pambio.
Acheni tabia za kutulundika wanaume kwenye makundi bila hata ya kunyambulisha.
Wengine mnatunyanyasa na kutuonea kwa kukosa uangalifu kwenye maneno yenu.