Kwanini wanaume wasasa wamekalia malalamiko na kusahau nafasi na majukumu yao kama vichwa vya familia?

Kwanini wanaume wasasa wamekalia malalamiko na kusahau nafasi na majukumu yao kama vichwa vya familia?

Mwanaume aliambiwa atakula kwa jasho.
Mwanamke, utazaa kwa uchungu.

Siku hizi wanawake wanakula kwa jasho na bado wanazaa kwa uchungu wakati wanaume achilia mbali kutokuzaa, hata ile kula kwa jasho inawashinda.
Ila kula kwa jasho napo sio sifa mkuu...
 
Wanawake wanadhani wanaume wanaogopa challenge kuhusu wanawake waliosoma ila ukweli wenyewe wanaume wanaogopa stress za wanawake waliosomA.

Kaa na wanaume waliooa wanawake waliosoma wengi wao wana msongo wa mawazo hawana furaha kwenye nyuso zao..

Elimu ya mwanamke haimsumbui sana mwanaume ila ujuaji ,dharau ulimbukeni wa mwanamke aliyesoma ndio tatizo kubwa.

Wengi wa waliooa wanawake waliosoma wanapitia unnecessary sterss,hawajivunii ile kuwa na mke km ambavyo wanaume wengine wanajivunia..

Kuna raha ya kuwa na mke lakini wengi wa waliooa wanawake wasomi hawawezi wakakwambia kwa marefu na mapana raha ya kuwa na mke sababu Hawaijui na hawajawahi ku experience hiyo raha ya kuoa.

Mwanaume anaoa ili kupata sex na kupunguza msongo wa mawazo.Maisha ya mwanaume ni stress tu..

Hapa sijazungumzia 25% ya wanawake waliosoma ambao wapo humble maana ukimpata huyo utaiona mbingu duniani.
Wanawake wanahisi challenge kwetu ni pesa tu! Stress is a big challenge na hili ndio limesababisha watu wengi kuidharau taasisi ya ndoa! Watu wameopt kupata amani ya nafsi zaidi sio stress!

Majority of women wana katabia ka kupenda battles na hawa ndio wanaoharibia wenzao wote na kutaka kujifanya kwamba ndoa ni stress! Ila mwanamke akiwa na utulivu bila drama ndoa haiwezi kuwa na stress sababu mwanaume ana utulivu na pesa itapatikana huku amani ikitawala sana!
 
SIJAKURUPUKA naona wewe ndio unajitoa fahamu!!Kwasababu unaepuka kujibu kila nilokuuliza!

Wapo kama unajizungumzia jizungumzie wewe usijumuishe wote!

Heshima sio tatizo mbona lakini je unastahiki hio heshima au uheshimiwe tu kwasababu mwanaume au umeoa?Heshima inatakiwa iwepo pande zote!
Hili ndio tatizo la wanawake wengi ambao mnajiona wasomi na wapambanaji 😂😂😂!!!

Hamna nyumba itakuwa na utulivu kama serikali ya ndani ya nyumba inawekeana battle! Mwanamke anatakiwa ku neutralize mambo ndani ya nyumba badala yake yeye ndio anakuwa chanzo cha kuvurugana na mumewe!

Hio kuhoji tu kuwa eti je unastahiki heshima au uheshimiwe tu sababu we ni mwanaume! Says a lot about your attitude.Mtu ambaye ulimsimamisha mbele ya ndugu zako na wakala pilau na kupiga mapicha ukumbini una guts za kumuongelea hilo kweli?
 
Ni kweli wanaume wanalalamika lakini wewe unasaidia ninii ili waache kulalamika.. wewe unatoa msaada gani ili waache malalmiko au na wewe unalalamika...
 
Tunajua tunachokitaka tatizo nyinyi ndio mnataka too much than what you can chew!Inabidi mpunguze expectations zenu kwasababu kama ni mwendo wa 50/50 mwanamke anabeba mzigo mzito zaidi inapaswa aheshimiwe kwa hilo na isiwe chanzo cha yeye kukandamizwa kwasababu ana haki zake!
Mwanamke anakandamizwa wapi jamani! Hamna mwanaume ambaye atashindwa kumlisha na kumvisha mwanamke wa kawaida katika misingi ya asili tu ya maisha!

Ila wanawake wa kizazi cha sasa wako overcomplicated. Tamaa mbele kila kitu kismpite imefikia stage ni gharama sana kuwa na mwanamke wa kudumu kuliko kuwa na mahawara! Unapoonekana kushindwa hayo mahitaji yake ya gharama kama kitu gani sijui ndio ngonjera za tafuta helaaaa...tafteni hela muache kulia lia ndipo zinaanzia. Demu anataka fashion zote za nywele mapochi na nguo, Iphone12 pro max umpe, anatamani crown athlete umpe na kumjazia mafuta! Haya maisha ya kutapanya mali kiasi hiki sio mepesi kwa vijana wengi wa rika langu! Hapo yeye anafanya kazi MDH kwa mfano ana mshahara 2M+ ila anataka wewe mwenye kipato cha laki 7 u toil kumfanyia yote!

Hamna mwanaume atashindwa kufanya kazi kumlisha na kumvisha mwanamke kiasili maana hayo mawili sio gharama ila overcomplications za kujifanya uzungu mwingi ndio kinachotushinda wengi!

Tunapoamua kujiondoa kwenye cycle ya wanawake wa tamaa tamaa hivi msituambie tunakimbia majukumu sababu hata babu zetu hawakupitia hizi changamoto!
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Nimekuelewa lakini mpaka sasa ninavyoona mabadiliko katika maendeleo ya wanawake yamekuwa threat kubwa sana kwa wanaume hasa hili kundi ambalo hawaeshi kulalamika!
Maendeleo yapi hayo ya wanawake? Watu wanakimbia stress zinazoletwa na hayo maendeleo wala hata sio maendeleo yenyewe kwa taarifa fupi tu!

Kuwa na masters degree sio shida, kuwa na kazi nzuri sio tatizo kwa mwanaume, ishu ni attitude yako baada ya kuwa katika huo wadhifa! Wengi mnasahau kuwa you are still women and should behave! Nimeona statement yako flani ati huyo mwanaume anastahili aheshimiwe au aheshimiwe tu sababu yeye ni mwanaume! Kuna kaji element flani ka Ego ambacho unacho!

Kama umeolewa na unakojoa kwa kuchuchumaa hata ungalikuwa na cheo kama mama Samia still unatakiwa ulale uchi usiku ukiwa kwa mumeo na umtanulie mapaja kwa adabu zote akuweke ukuni na useme asante. A man will always be a man, awe na pesa nyingi au kidogo!
 
Jamani, si tulishakubaliana maisha ya sasa ni 50/50! Yaani hakuna kukubali kulea wala kulelewa?

Hao wanaokubali kuishi na kulea huoni nao wana shida pia coz maisha ya sasa huwezi kulinganisha na zama zile.

Kama mke unaamka alfajiri, unaacha watoto nyumbani kwenda kutafuta kipato, unarudi jioni umechoka, maana yake ni kuwa upo tayari kuchangia kifedha maendeleo ya familia yako. Usilalamike hata kidogo.

Kama mke unakaa nyumbani kuhudumia familia, hakikisha unatimiza majukumu yako kwa kulea watoto vizuri, baba atatafuta hela ili kukuhudumia wewe na watoto.

Tatizo wanawake wengi you want to eat your cake and have it.
Hilo ndio shida, mapambano yote ni kuwa wanawake wanataka washinde nyumbani na ugenini 🤣!

Wanapoambiwa hilo ni gumu wao wanakaza ubongo na kuanza kurudisha lawama kwetu. Mwanamke anataka apewe uhuru wa kujifanyia anayotaka 100% freely ila still hapo hapo anataka awe dependent kwa mwanaume financially!

Yani afanye kazi alipwe mshahara ila awe mzigo kwa mumewe asichangie hata sh.100 kwa kigezo kuwa mwanaume atakula kwa jasho. Kwenye hela yao hamna 50/50 ila kwenye majukumu mengine ndio mgawane! Wanaume huu ujinga wengi unatukera ndio mtu anaamua haoi sasa!
 
Kama mkeo ni mama wa nyumbani 100% na ww ni ndo breadwinner then hupaswi kupika deki kaka.Ila wote kama ni breadwinners mnapaswa kusaidiana na kama husaidii unamuelemea mwenzio!
Kumbe una akili ya kitoto namna hii? Wewe katika maisha ishi ukijua wewe ni mwanamke na fanya yote ambayo unapaswa kuyafanya for the greatness of your family!

Achana na akili za wote tunafanya kazi sijui thats stupidity in its finest form! Theres no excuse in being a woman! Hakunaaa!!!
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Hilo ndio shida, mapambano yote ni kuwa wanawake wanataka washinde nyumbani na ugenini [emoji1787]!

Wanapoambiwa hilo ni gumu wao wanakaza ubongo na kuanza kurudisha lawama kwetu. Mwanamke anataka apewe uhuru wa kujifanyia anayotaka 100% freely ila still hapo hapo anataka awe dependent kwa mwanaume financially!

Yani afanye kazi alipwe mshahara ila awe mzigo kwa mumewe asichangie hata sh.100 kwa kigezo kuwa mwanaume atakula kwa jasho. Kwenye hela yao hamna 50/50 ila kwenye majukumu mengine ndio mgawane! Wanaume huu ujinga wengi unatukera ndio mtu anaamua haoi sasa!
Teh, anataka aamke 0500hrs aende kazini, arudi 2100hrs amechoka mbaya, aoge ale alale, mda huo hajui watoto walishindaje, mwisho wa mwezi mkipata mshahara yeye anapocket mshahara wake na wewe uhudumie familia, yeye akajenge kwao, mwisho watoto hawana maadili coz sio baba wala mama alikuwa anashinda home, lakini pia hakuna positive impact ya income yake.

Futseke, akae basi nyumbani ahudumiwe ili alee watoto.
 
Hahahah na baada ya muda hela ikishaji accumulate ikawa nyingi bank anaaza dharau na kejeli!

Heshima kwako inakuwa ni swala la option kwake kwamba utamwambia nini nayeye ana kazi yake kwanza usimchoshe kutaka akupe K kila siku 🤣 sio chakula kile! She can pay her own bills anyway na kulea watoto wake! Hana uoga wa kuachana na wewe
 
Hahahah na baada ya muda hela ikishaji accumulate ikawa nyingi bank anaaza dharau na kejeli!

Heshima kwako inakuwa ni swala la option kwake kwamba utamwambia nini nayeye ana kazi yake kwanza usimchoshe kutaka akupe K kila siku [emoji1787] sio chakula kile! She can pay her own bills anyway na kulea watoto wake! Hana uoga wa kuachana na wewe
Mbususu unapewa kwa ratiba![emoji23][emoji23][emoji23]

Well, tuishi nao kwa akili. Huyu jamaa aloandika vitabu vitakatifu alikuwa smart sana.
 
Mbususu unapewa kwa ratiba![emoji23][emoji23][emoji23]

Well, tuishi nao kwa akili. Huyu jamaa aloandika vitabu vitakatifu alikuwa smart sana.
Ndio hapo mtakapoishia mwisho anaanza kutiwa na kiben 10 somwhere in town anaanza kukilea
 
Wanaume wa sasa mna matatizo gani haswa maana sielewi tatizo lenu ni kwamba hamtaki mabadiliko au akili zimeelemea kwenye mfumo dume au ni nini hasa?Hamna lilo la kheri kwenu,wanaume hamuishi malalamiko mnaongea hata kuwazidi wanawake, maana najua mwanamke ni itikadi yake kupenda kuongea.

Wanaume nyinyi wa karne hii mnataka mtu kama bibi zetu(kitabia na anavyojiweka) na wakati huohuo mnataka mwanamke aliyeelimika,mpenda maendeleo,mchapa kazi n.k ili musaidiane majukumu.

Mnasahau kama bibi zetu jukumu lake kubwa lilikuwa kujenga familia.Kama mwanamke anaingiza kipato kama ww au ikiwezekana kukuzidi wewe mwanaume usitegemee upewe treatment na mwaka 47 lazima mfumo mzima wa maisha ubadilike!
Hii ni 2021 inabidi mubadilike muendane na wakati uliopo waungwana!

Ninachojiuliza hasa ni kwamba mna hofu mkiwa na mwanamke aliyeelimika atawapa changamoto nyingi kwasababu amepambazuka akili na ana upeo wa kufikiri tofauti na ambaye hana elimu?na hamtoweza kumwambia lolote tu akubali bila kutaka kujua kwanini?
Je hilo litapunguza heshima kwenu au litaondoa uanaume wenu?

Tusisahau pia wanawake haohao wachapakazi ndo wanaozaa na kujenga familia kumaanisha wanabeba mzigo mzito kuliko hata wa mwaka 47!

Tuchukulie women empowerment ni kitu chenye manufaa kwa mwanamke na mwanaume na tuache kukandamiza wanawake kwasababu wamepata sauti na kuerevuka!

Tafadhali nahitaji michango ya watu mnaojielewa.Ahsanteni na karibuni!
Sielewi ata umeandika nini..
ila jua hili..

UCHUMI WA CHINI = MTU MMOJA ANAPAMBANA KWA AJILI YA WATU WAWILI (MAMA NA WATOTO)

UCHUMI WA KATI = WATU WAWILI WANAPAMBANA KWA PAMOJA (MUME NA MKE)

UCHUMI WA JUU = WATU WA WATU WANAPAMBANA KWA PAMOJA (MUME, MKE NA MTOTO)

sasa kama ww upo uchumi wa chini unamtegemea mwanaume basi endelea ila wenzako wanawake wapo uchumi wa kati wote wanapambana ili wafikie nia.. hakuna kutegeana katika uchumi wa kati.
 
Wanawake wanahisi challenge kwetu ni pesa tu! Stress is a big challenge na hili ndio limesababisha watu wengi kuidharau taasisi ya ndoa! Watu wameopt kupata amani ya nafsi zaidi sio stress!

Majority of women wana katabia ka kupenda battles na hawa ndio wanaoharibia wenzao wote na kutaka kujifanya kwamba ndoa ni stress! Ila mwanamke akiwa na utulivu bila drama ndoa haiwezi kuwa na stress sababu mwanaume ana utulivu na pesa itapatikana huku amani ikitawala sana!

Sasa wao wanakuja na hoja eti tunaogopa challenge na kuzidiwa uwezo wa kufikiria.Kitu ambacho sio ukweli kabisa...

Hofu yetu ni kurudi nyumbani ukiwa stress za kazi na unahitaji pumziko la moyo halafu unakuta mtu anakuongezea stress nyingine sasa unajiuliza why nimeoa sasa km hata nyumbani ambapo natarajia nitulize kichwa niwaze maendeleo napo hamna amani.

Boss wangu anapandishie sauti na mke wangu pia.
 
Wanazingua sana hawa raia
 
Za kutumia hela ya mwanaume by 100% na kumtegemea katika maisha yake ya kila siku kama mashine ya kumtatulia matatizo yake!

Ila pia wapewe access ya kutafuta hela zao wakitaka bila kubanwa kama jinsi wanaume wanavyotafuta ila hizo hela zao zisiguswe kwa namna yeyote ile maana ni zao!

Msingi wote wa mtoa mada upo hapa ila kazunguka zunguka tu bila mpango kwa kugeuzia lawama kwa wanaume ambao wameamua kujiengua kwenye huo unyonyaji kwa kuwapa jina kuwa ni walalamikaji!
Wanawake wengi wana roho za ubinafsi"cha mwanaume chake ila cha mwanamke ni chake mwenyewe"

Alafu mambo ya Beijing ndo yamezalisha kizazaha katika jamii.
 
Sielewi ata umeandika nini..
ila jua hili..

UCHUMI WA CHINI = MTU MMOJA ANAPAMBANA KWA AJILI YA WATU WAWILI (MAMA NA WATOTO)

UCHUMI WA KATI = WATU WAWILI WANAPAMBANA KWA PAMOJA (MUME NA MKE)

UCHUMI WA JUU = WATU WA WATU WANAPAMBANA KWA PAMOJA (MUME, MKE NA MTOTO)

sasa kama ww upo uchumi wa chini unamtegemea mwanaume basi endelea ila wenzako wanawake wapo uchumi wa kati wote wanapambana ili wafikie nia.. hakuna kutegeana katika uchumi wa kati.
Unajibu vipi kitu ambacho hujakielewa?
Nimezungumzia 50/50 its obvious ni kusaidiana lkn kama mnataka watu wasaidiane msiwe mnasema wanawake wasomi au independent sio wife material n.k!
 
Teh, anataka aamke 0500hrs aende kazini, arudi 2100hrs amechoka mbaya, aoge ale alale, mda huo hajui watoto walishindaje, mwisho wa mwezi mkipata mshahara yeye anapocket mshahara wake na wewe uhudumie familia, yeye akajenge kwao, mwisho watoto hawana maadili coz sio baba wala mama alikuwa anashinda home, lakini pia hakuna positive impact ya income yake.

Futseke, akae basi nyumbani ahudumiwe ili alee watoto.
Then mna wrong definition na uelewa wa 50/50.Kwenye 50/50 pesa ya mkeo inagawanywa kama yako kwenye matumizi.Yaani mnagawana expenses zote 50/50!I hope u got my point!
 
Kumbe una akili ya kitoto namna hii? Wewe katika maisha ishi ukijua wewe ni mwanamke na fanya yote ambayo unapaswa kuyafanya for the greatness of your family!

Achana na akili za wote tunafanya kazi sijui thats stupidity in its finest form! Theres no excuse in being a woman! Hakunaaa!!!
Mimi sina akili ya kitoto ila nina upeo wa kufikiri out of the box sio kama wako.Sio kila kinachokuwa fed up kwenye akili yako ndo kinatakiwa kiwe hivyo.Wakati mwengine fikiria vitu through other perspectives.Siwezi kubadilisha mindest yako lkn its healthy to think differently.

50/50 ina maslahi makubwa sana hata kwenye malezi achilia mbali uchumi.Mtoto ambae analelewa na mama tu namaanisha baba ndio breadwinner na hasaidii malezi anakuwa hana ukaribu na baba kabisa.Yaani unajua kuwa baba anakusomesha anatoa huduma za kifedha lakini panakuwa hakuna relationship au bond.Huwezi kubadili genetics ni babaako lakini hata ukaribu wa urafiki kuwa unaweza kwenda kwa baba ukiwa na tatizo huna.Kumbuka mtoto siku zote yupo safe na mtu aliyejenga ukaribu nae.
 
Back
Top Bottom