Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
- Thread starter
- #101
Uncle,ile pulling si mchezo. Ukileta upuuzi una sanda dakika ya 20 tu hapo. Sema ndio hivyo chuma ikishakuwa ni ya mjerumani huwa hainoki kizembe.Halafu anakwambia kumbe wewe siyo mzee, baada ya kukuchangamsha akili na mwili, hahaaa!, ng'ombe hazeeki maini
Vuta picha gari bovu likivutwa na gari bovu, lazima litumbukie kwenye mtalo