Kwanini wanaume wengi hawajui kufikisha wanawake zao kileleni?

suala la mwanamke kufika kileleni ni jukumu lake mwenyewe
kwani nyie huwa mnatufikisha kileleni au tunafika wenyewe
kila mtu apambanie hisia zake,mambo ya kuanza kufikishana huo ni
utumwa sasa
 
Bahati mbaya hata Pemba sijawahi fika ni unguja tu nilikaa miezi kadhaa

Ila wewe hakikisha ukikunjwa unakunjika ,Sasa wewe unakoroma tu kama jogoo lenye kideli
SAWA
Utakumbukaje unasodolewa tu hata kufurukuta hamna wadhani utakumbuka akikuachia tu ushasahau

Wasukuma ndo tiba yako mpaka utacheua kama ng'ombe hahaha
AISEE
 
suala la mwanamke kufika kileleni ni jukumu lake mwenyewe
kwani nyie huwa mnatufikisha kileleni au tunafika wenyewe
kila mtu apambanie hisia zake,mambo ya kuanza kufikishana huo ni
utumwa sasa
bro ushawahi kuzini au kuoa?
unachoandika hakipo!
 
Yaan mimi nikuhonge halafu nihangaike kukufikisha kileleni, nikifika mimi inatosha we hangaika na vya kwako
 
Binafsi naona hata wanawake wanatofautiana kuna pisi yangu flani nait@mber kidogo tu ishafika mshindo na anaweza kufika mshindo hata mara tano katika gem moja na kuna uyo mwingine mpaka aje afike mshindo ushafanya kazi ya ziada

Ova
Ni kweli

Sio Wanawake wote wanaofika kileleni/kufika mshindo...according to research

Wengine wanaridhika kabisa kwa 100% lakini hawapiss au kuonesha dalili
 
Mtuache kidogo tushughulikie tatizo la umeme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…