Kwanini wanaume wengi hawajui kufikisha wanawake zao kileleni?

Uzi ukomee hapa...wanaofuata comment ziwe fupi fupi πŸ˜‚
 
Kwasababu wanawake wa Sasa Wana madeni na stress kibao
 
BR
Nyie wanawake msitusumbue na vilele vyenu. Swali kwanza nyie wenyewe kiakili mko tayari kwenda huko kileleni au mnataka kutuua tu. Sasa hivi nataka nianzishe kampeni ya mwanaume jali hisia zako, kila mmoja ajifikishe kileleni. Tusichoshane akili.
BRO ANZIA JANDO KWANZA KABLA HAUJAJA KU COMMENT
HAIWEZEKANI WANAWAKE WOTE WA SASA WAWE NA MALALAMIKO YA KUFANANA
 
Webumefikisha wanaume wangapi kileleni mpk aridhike na ww
 
Alokwambia huko jando wanaume wanajazwaga ujinga huo nani? Mbunye zenu mmezifanya jalala la kulipia. Iweje atupe taka na azoe? Lalamikeni,ukitoa kistaarabu,unafanyiwa kistarabu. Ukiuza, kubali uumie. Full stop
sidhani kama umeenda
na kama ulienda basi ulifosiwa ukapewa kazi ya kuchota maji wakati wenzio wanafundishwa
alieenda jando hana majibu ya kiduanzi kama haya
we kubali tu hospital ndio ulipata tohara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…