sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Yani unakuta mtu anaona bora hata dada yake atoke na mtu asiemjua kabisa lakini linapokuja swala la rafiki yake ku date na dada yake hapo huwa pana utata?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufahamiana kukizidi kunaleta udugu fulani.Vilevile,binadamu tumeumbwa wachoyo na wabinafsi(self-centeredness) hasa wanaume.Hivyo Ukiona hayo yanatokea ujue ni asili inatembea na mkondo wake tu.Yani unakuta mtu anaona bora hata dada yake atoke na mtu asiemjua kabisa lakini linapokuja swala la rafiki yake ku date na dada yake hapo huwa pana utata?
Barikiwa mtumishi. Ni rahisi sana watoto wa rafiki wa familia kuunganishwa na wazazi na kuoana kuliko marafiki kuoleana dada zetu. Kuna jamaa yangu alikuwa na dada. Kumbe kila tukienda pale mdada roho huwa juu sana. Alipopata namba ya jamaa yangu akajilipua. Wakanza kuenjoy uwepo wao. Dada kajitahidi kuweka mambo wazi nduguze wakaja juu ikiwa ni pamoja na kusitisha urafiki wetu. Wote tulioenakana wabaya sana.Kufahamiana kukizidi kunaleta udugu fulani.Vilevile,binadamu tumeumbwa wachoyo na wabinafsi(self-centeredness) hasa wanaume.Hivyo Ukiona hayo yanatokea ujue ni asili inatembea na mkondo wake tu.
Inasikitisha.Maana urafiki wa wazazi hadi watoto wanauchukua kwa upendo mkubwa sana.Inafika sehemu watu wa hizo familia wanasahau urafiki na kuwa udugu.Ikitokea watoto wamependana kwa kutaka kuona ndipo taharuki huibuka.Maisha ya Kiafrika tunaishi kama familia moja.Tukubali kwamba Kuna faida nyingi tu.Lakini tujiandae kiroho na kiakili kuwa,yakizuka yakuzuka kuyakabili bila vurugu na chuki.Barikiwa mtumishi. Ni rahisi sana watoto wa rafiki wa familia kuunganishwa na wazazi na kuoana kuliko marafiki kuoleana dada zetu. Kuna jamaa yangu alikuwa na dada. Kumbe kila tukienda pale mdada roho huwa juu sana. Alipopata namba ya jamaa yangu akajilipua. Wakanza kuenjoy uwepo wao. Dada kajitahidi kuweka mambo wazi nduguze wakaja juu ikiwa ni pamoja na kusitisha urafiki wetu. Wote tulioenakana wabaya sana.
Upo sahihi.Tatizo tunaepuka zarau
Mimi hutoka na mama zaoYani unakuta mtu anaona bora hata dada yake atoke na mtu asiemjua kabisa lakini linapokuja swala la rafiki yake ku date na dada yake hapo huwa pana utata?