Kwanini wanaume wengi kutoka mataifa ya asia haswa ya kiarabu wana kesi nyingi za ubakaji na unyanyasaji kingono huko uingereza?

Kuna kesi za kusingiziwa pia. Huko ukikubaliana na mwanamke usimwage ndani halafu ukamwaga anakushtaki umembaka. Akisema shika kiungo chochote matiti usishike halafu umeshika tayari umembaka.
 
Kosa kubwa sana Ulaya walilofanya ni kupokea wahamiaji kutoka middle east wanasiasa waliwadanganya ili kupata kula nyingi kutoka Kwa wahamiaji sasa wanalipa Kwa ujinga wao.

Democrats na liberals hao.
 
Kuna kesi za kusingiziwa pia. Huko ukikubaliana na mwanamke usimwage ndani halafu ukamwaga anakushtaki umembaka. Akisema shika kiungo chochote matiti usishike halafu umeshika tayari umembaka.
Sasa usipo mshika utamlaje jamen
 
Kwa taarifa yako wa Iraq ama Iraqis ndo wanaongoza kwa ubakaji uingereza. Sweden waislamu ni laki mbili tu lakini ndio wengi magerezan8 kwa kesi za wizi, ubakaji na mauaji?
Kwa hiyo ina maana uislamu hauwezi kutenganishwa na uovu au maana yake nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…