Kwanini wanaume wengi mnapenda kulala na ubaridi? Full AC au Feni?

Kwanini wanaume wengi mnapenda kulala na ubaridi? Full AC au Feni?

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Katika uzoefu wangu wa sleepover hizi over the years nimenotice wanaume mnapenda baridi Sana yaani Full ac au mfeni usiku kucha.

Sipendi joto ila sipendi baridi. Kuna mchepuko huo kidogo usiku nife kwa pnemonia. Yaani mwili wote kama barafu ukigusa kalio kama umeshika barafu yaani.

Shida ni nini wakuu?

Ndio maana sipendi kulala kwa watu kwa kweli shida tupu.

1623829643421.png

 
Hivyo ndiyo kutujuza hujampata bado, Miss Natafuta !? Anyways, tuendelee kuchapa kazi kwa nguvu na akili, yajayo yanafurahisha. Hauko peke yako, sawa!??? But, unajirahisisha sana kuliko hata bidhaa za supermarket, ndiyo maana unapata visivyolika.
 
Back
Top Bottom