Kwanini wanaume wengi siku hizi hupenda sana kubeba mafuta ya mgando mifukoni?

Inakuwaje mtu unatembea kuchungulia mifukoni mwa watu? Au weye ni polisi unakaguaga vifurushi vya watu? Kama sivyo, basi, unatatizo au ulikuwa na kaujumbe flan ulitaka kutueleza sijui
 
Huyu anachunguzaga watu akiwa katika mazingira gani?
 
Si wanapaka wakimaliza kunawa mikono au
 
Mambo ya waruka ukuta hayo
 
Hàhàa hii ni kwawale wazinifu wanaamini kwamba wakitumia haya mafuta yanazuia maambukizi ya HIV
 
Wanafanya kazi dangote cement, hivyo wanatembea na mafuta ya kujipaka kukwepa kupauka
 
Mimi nabeba baby oil nikifumaniwa na mke wa mtu hujimwagia niteleze. Hapo moto chini
 
Hahahaha duh, lakin mafuta haya sio mazur kuyatumia kama wanavyofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…