Kwanini wanaume wengi wa kilokole hawapo romantic?

Washika dini sana hawana tofauti na wachawi.
 
Kumbadilisha ni suala litachukua muda kidogo,ongea nae kwa hekima mweleze vitu gani akifanya vinakufurahisha mfano,mwambie unapenda kuchat nae anapokuwa mbali na wewe,Mwishoni wa mambo yote ni wakati utakapo kuwa mjamzito,Hapo ndo maliza kila kitu maana huo ndo wakati pekee unaoweza kumlazimisha kuwa romantic na akawa kama unavyotaka!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah nikwambie tu una bahati ya kupata Mme kama mnaweza ht kuchezea karata au akakwambia sema tu unataka nikupe nilale!!?
Aise shukuru Mungu kuna wanawake hawapato hata muda wa kukaa na waume zao akija akito.m.b.a analala akiamka anasepa mpk usiku tena akirudi, so kuwa mtulivu mummy!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukianza kuhoji haya ujue roho wa kuchepuka hayupo mbali nawe, unahitaji ibada ya kumpakwa mafuta!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…