Kwanini wanaume wengi wa kilokole hawapo romantic?

Hili ni tatizo lako unatukosea heshima wengine


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Uwe unamuwekea tu upupu kidogo wakati wa kulala.. Tukianza kumuwasha washa atakuita umkune kune ndo apo automatically unaanza tumichezo chezo unatotutaka.. Ikishindikana na hapo mpeleke akakanyage mafuta

....[emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Navaaje kiibada we c uchek avatar yangu kwan hapo nimevaa kiibada

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo Avatar unahisi mume wako huko barabarani kaona wangapi waliovaa hivyo?

unajua kuna mavaazi ya kuvaa mbele ya Mume tu,hayo ndio uyavae sasa

yani unanipokea ukiwa umevaa hivyo kama kwenye Avatar,itanichukua muda sana kuruhusu hisia.

Kuna makanisa watu wanavaa hivyo ulivyovaa ila kuna mavazi ukivaa hata shetani haruhusu uvae mbele ya mtoto.
 
Tatizo umeolewa na mlokole

Ungekuwa na mtu unaye endananae kitabia..

Hiyo itakupa stress na ile peace of mind inapotea.

Kwenye mapenz lazima kuwe na balance ,


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Mruhusu achepuka akajifunze huko


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Me mke wangu wakati namuoa hakuwa romantic means mshamba sio wa nchi hii ila sasa hivi ni fundi

Ilikuwa ukimwambia “ I love my wife” anakujibu “ asante sana mume wangu”

Anajua kusema “ i love u too” ni DHAMBI


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Katika maisha kuna principle hii ukiifuata hautapata tabu kabisa..."Kuna kitu jinsi kilivyo na kitu unavyotaka kiwe"...kama ushajua huyu mtu yupo hivi jifunze kuishi nae hivyo hivyo jinsi alivyo ukitaka awe jinsi unavyotaka wewe lazima mambo yataharibika tu..
 
Uku
Huku utaambulia matusi tu.
Unaposema wanaume wengi, inamaana ulishawajaribu wangapi huku ukijiita mlokole? Wewe unafikiri kuolewa ni kufanya mapenzi tu?

Yawezekana wewe ni mcharuko na unataka micharuko, sasa ukikutana na mtu aliyetulia, basi unaona hafai.
 
Tuanzie hapa,
Kwa nini ulikubali kuolewa naye kama ulijua yuko hivyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Pole Madam vivian original , hebu jaribu kumshirikisha kuangalia kipindi cha Living Couple kupitia Dove Television katika DSTV (Channel 349 kama mna hicho king'amuzi) kila Jumapili saa 4 usiku au mshirikishe video za hiki kipindi katika Youtube. Huu unaweza ukawa mwanzo wa kumbadilisha kwani Dove Television ni ya waliokoka (Redeemed Church) na wanaongelea mambo ya mahusiano "In Biblical Perspective".

Soma hapa Living couples

Mwisho Madam vivian original nikuulize,
1. Je wewe na mumeo mnapata nafasi ya kuomba pamoja?
2.Je mnaongea kweli hapo nyumbani juu ya mahusiano yenu mfano kero kama ulizoziandika hapo juu?
3. Kama ndoa yenu ina chini ya 5, hauoni kwamba mahusiano yako yaliyopita na wanaume wengine hapo nyuma ndiyo
yanakutesa?Yaani unafanya ulinganifu.
4. Je vipi mmeshawahi kuongea pamoja juu ya ndoto mnazoota usiku? Kunaweza kuwa na roho kinzani "Spiritual wife au
Spiritual husband"
5. Je Madam, umeshawahi kulipeleka tatizo lako madhabahauni kwa kwa njia ya "Kufunga na Kuomba"

Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…