Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,727
Washika dini sana hawana tofauti na wachawi.
[emoji16][emoji16]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Washika dini sana hawana tofauti na wachawi.
Ishi nae kwa makini Sana huyo extremist,siku anaweza kuja na upako akakunyongelea mbali kwa usumbufu wakoHapo kwenye kuwaachia wengine Extrovert umekosea mengine tunamuachia Mungu ndo ana majibu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Uwe unamuweke tu upupu kidogo wakati wa kulala.. Tukianza kumuwasha washa atakuita umkune kune ndo apo automatically unaanza tumichezo chezo unatotutaka.. Ikishindikana na hapo mpeleke akakanyage mafuta
....[emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo Avatar unahisi mume wako huko barabarani kaona wangapi waliovaa hivyo?Navaaje kiibada we c uchek avatar yangu kwan hapo nimevaa kiibada
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawasalim wapendwa
Uzi huu unawahusu wanandoa au vijana walioshika dini sna, kiasi kwamba wao hawana habar na mambo yanayoendelea dunian.
Kama, unywaji pombe, kuchepuka, kupenda starehe na company, kupenda music wale ambao wamejitoa maisha yao yote kumtumikia Mungu.
Mume wangu ni mtu wa aina hiyo, kwakweli nashukuru Mungu hatujawah kuzozana habar za kutoaminiana tunaishi kwa aman na furaha tele sababu wote tumekutana tuna hofu ya Mungu.
Tatizo ni moja tu, ambalo linaniumiza mwenzangu hayupo romantic kabisaaa, kwa mfano
1) unaweza ukammiss au ukawa unahamu kuchat na mpz wako kimahaba whatsup ukamtext, nimekumiss mume wangu au nakupenda na malove DAV meng yy akakujibu kwa ufupi tu ahsante mke wangu nakupenda pia..
Ukiendelea labda kumchombeza atakwambia nipo bize tunaongea nikirud, au unaweza ukamtex nimekumiss love akakupigia unasemaje mke wangu nipo bize nimechoka kutaype
2) akirud home ni mskajiwangu tutapiga story tutacheza karata na mambo mengi tu, tukiwa chumban ukitaka cjui kumchezea au kumsumbua sumbua kimahaba anakwambia wife niache nipumzike nimechoka kuna siku aliniambia mke wangu ww ni msumbufu kama unataka c useme nikupe mm nilale nikamwambia ndio nataka basi akanipa unyumba akalala.
Yaan kwa kifupi hana muda na mapenz kwake tendo LA ndoa c lazima yupo bize na famila na mambo ya kanisan na kazi zake.
Kiukweli wanawake sometimes tunapenda kubendelezwa kupetiwa petiwa na kupewa raha,
Sio kwamba kabadilika Ila ndivyo alivyo, na sio kwamba sio mwaminifu ila hayupo hivyo.
Ukitaka unyumba ujirengeshe akupe then mlale mnaweza mkalala pia unamwambia nikumbatie anakwambia mm sipat usingizi mpaka nijifunike shika nilalalie tumbo basi atakjfurahisha dk 5 then anakwambia nataka nilale hiyo anavuta shuka mpaka asbuh.
Nifanyaje niweze mbadilisha mume wangu, awe romantic namm nifurahie mapz, mengi nimejitahid amebadilika lakin kwenye mapz ndo mtihan.
NB:Sihitaji ushuri wa kuambiwa chepuka,
sio wanaume wote kwenye ndoa zao wanachepuka wengine wanajiheahimu na wana hofu ya Mungu,
Na sio kila mwanamke mzur akiwa na chngamoto kwenye ndoa yke solution ni kuchepuka, muda mwingine inabid utafute ufumbuz wa tatizo ili uzidi kujenga nyumba yko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kwa MWAMPOSA!
#ESQUIRE
Huku utaambulia matusi tu.Nawasalim wapendwa

Hahahahhaaaa ,,haya sasa ashindwe yeyeNiko serious ujue
Mke wangu ananipenda nampenda ila hayuko romantic
Yuko busy na mambo ya kanisani yeye ni katibu wa wamama
Controla nimecheka mm mwenzioo khaa Jf idumu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]sio upendeze uvae ki ibada ibada we madam vipi bwanaaaaa
Nawasalim wapendwa
Uzi huu unawahusu wanandoa au vijana walioshika dini sna, kiasi kwamba wao hawana habar na mambo yanayoendelea dunian.
Kama, unywaji pombe, kuchepuka, kupenda starehe na company, kupenda music wale ambao wamejitoa maisha yao yote kumtumikia Mungu.
Mume wangu ni mtu wa aina hiyo, kwakweli nashukuru Mungu hatujawah kuzozana habar za kutoaminiana tunaishi kwa aman na furaha tele sababu wote tumekutana tuna hofu ya Mungu.
Tatizo ni moja tu, ambalo linaniumiza mwenzangu hayupo romantic kabisaaa, kwa mfano
1) unaweza ukammiss au ukawa unahamu kuchat na mpz wako kimahaba whatsup ukamtext, nimekumiss mume wangu au nakupenda na malove DAV meng yy akakujibu kwa ufupi tu ahsante mke wangu nakupenda pia..
Ukiendelea labda kumchombeza atakwambia nipo bize tunaongea nikirud, au unaweza ukamtex nimekumiss love akakupigia unasemaje mke wangu nipo bize nimechoka kutaype
2) akirud home ni mskajiwangu tutapiga story tutacheza karata na mambo mengi tu, tukiwa chumban ukitaka cjui kumchezea au kumsumbua sumbua kimahaba anakwambia wife niache nipumzike nimechoka kuna siku aliniambia mke wangu ww ni msumbufu kama unataka c useme nikupe mm nilale nikamwambia ndio nataka basi akanipa unyumba akalala.
Yaan kwa kifupi hana muda na mapenz kwake tendo LA ndoa c lazima yupo bize na famila na mambo ya kanisan na kazi zake.
Kiukweli wanawake sometimes tunapenda kubendelezwa kupetiwa petiwa na kupewa raha,
Sio kwamba kabadilika Ila ndivyo alivyo, na sio kwamba sio mwaminifu ila hayupo hivyo.
Ukitaka unyumba ujirengeshe akupe then mlale mnaweza mkalala pia unamwambia nikumbatie anakwambia mm sipat usingizi mpaka nijifunike shika nilalalie tumbo basi atakjfurahisha dk 5 then anakwambia nataka nilale hiyo anavuta shuka mpaka asbuh.
Nifanyaje niweze mbadilisha mume wangu, awe romantic namm nifurahie mapz, mengi nimejitahid amebadilika lakin kwenye mapz ndo mtihan.
NB:Sihitaji ushuri wa kuambiwa chepuka,
sio wanaume wote kwenye ndoa zao wanachepuka wengine wanajiheahimu na wana hofu ya Mungu,
Na sio kila mwanamke mzur akiwa na chngamoto kwenye ndoa yke solution ni kuchepuka, muda mwingine inabid utafute ufumbuz wa tatizo ili uzidi kujenga nyumba yko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Namsubiri yeye tu hapa ujue
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tatizo mnataka wanaume walokole na waliyokulia kwenye dini,
Huku nyie mmekulia kwenye xvideo hiyo ndiyo shida,
Maana huwa hamjuhi mnachokihitaji!