Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Poleni na ugumu wa maisha… Hapa kazi tu !
Wanaume mpo ?
Kuna kasumba fulani kwa wanaume wengi hapa Tanzania.
Wakioga hawapwndi kabisa kupaka mafuta na hata akipaka anapajipaka usoni tu na mikononi halafu anaishia mtaani kiroho safi. Anakula suti yake na tai kumbe huko ndani ukimcheck amepauka kinoma mpaka ngozi imekakamaa.
Na hawapendi kabisa kuvaa nguo za ndani.
Ni kwamba huwa wana haraka sana ama wanaogopa mafuta yanawaunguza huko ndani? Au wakivaa nguo za ndani watababuka kwenye joints za mapaja ?
Mwanaume akiumwa ama akapata ajali akawa hajitambui halafu akaenda hospital utastaajabu ya Musa…
Kukata kucha huwa kazi sana.
Kuvaa nguo za ndani kuna tatizo gani ? Kupaka mafuta vizuri mwili mzima ukanawili nini shida?
Badilikeni maana mnachana mashuka na kukwangua wake zenu…