Kwanini wanaume wengi wa kitanzania hawapendi kupaka mafuta na kuvaa nguo za ndani ?

Kwanini wanaume wengi wa kitanzania hawapendi kupaka mafuta na kuvaa nguo za ndani ?

Mimi usafiri wangu miguu, nikipakaa mafuta ya mgando na hili jua la Dar nahisi kama naungua halafu nakuwa mwekundu. Nikipakaa lotion naloa majasho vibaya sana.
Mi mwenyewe kama wewe huu mwaka wa 5 sijawahi kupaka mafuta
 
Hatuvai chupi tunavaa boxer, na hatupaki mafuta matakoni, huko ni kwa kina james delicious
 
Kweli kabisa hawapaki mafuta hasa kwenye makalio wamepauka balaaa na inapelekea ukurutu chini ya uvungu wa makendeee

Ushauri wangu watumie mafuta ya nazi kwa suluhisho lao.
Acha kumnyonya mwenzio Makalio, mwanamke unafanya nini nyuma ya kidume, wewe kwako front side tu.
 
Kweli kabisa hawapaki mafuta hasa kwenye makalio wamepauka balaaa na inapelekea ukurutu chini ya uvungu wa makendeee

Ushauri wangu watumie mafuta ya nazi kwa suluhisho lao.
Halafu uwe unaoga na mwenzio sometimes na mpakane mafuta, inapunguza haya malalamiko
 
Kweli kabisa hawapaki mafuta hasa kwenye makalio wamepauka balaaa na inapelekea ukurutu chini ya uvungu wa makendeee

Ushauri wangu watumie mafuta ya nazi kwa suluhisho lao.
We Dada kwenye makalio ya mwanaume mwenye TEZIDUME mbili ulifuata nini?
 
HUENDA IKAWA HIVYO KA BAADHI.
MYSELF SINUNUI NA WALA SIVAI ZILE BOXER, NA NAVAA ZILE BUKTA AMBAZO NI ELASTIC TU ZINA NAFASI NDANI KIASI MASHINE HAIPATI TABU KUHEMA WALA KUJINYOOSHA.

MIMI SINA NGOZI YA MAMBA, YA KUKAUKA KAMA MAGOME YA MTI HATA INGAWA YUPO MAJINI AMBAKO HAMNA JUA. NGOZI YANGU KUPAUKA HAMNA IMERIDHIKA.....HAYA WANGOJE WALE WANAOPAKA MAKALIO MAFUTA
 
Mtoa mada nikisema wewe ni mwanamke malaya nitakuwa nakukosea?
Maana huwezi toa tuhuma ambazo hauna uhakika nazo kwenye public.!
Kwa tuhuma hizo ni ushahidi kuwa wewe umepitiwa na wanaume wengi wa aina hiyo uliowaripoti hapa.
Badili tabia (ushauri)

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Bahati mbaya sana alisema yeye ni mwanaume[emoji848]
 
Mimi sipendi kupaka mafuta,ila nafanya sana mazoezi na nikitoka mazoezini mwili wote umelowa mpaka nguo ya ndani.nikirudi natulia kama nusu saa naoga,mwili wangu uko vzr sana.

Nakula mboga za majani matunda mani kwa siku lita tano mpaka 8.

Nina miaka 15 sijawahi kupaka mafuta mwilini.na situmii hata perfume yaani mwili wangu ni og kabisa
 
Back
Top Bottom