Kwanini wanaume wengi wa kitanzania hawapendi kupaka mafuta na kuvaa nguo za ndani ?

Kwanini wanaume wengi wa kitanzania hawapendi kupaka mafuta na kuvaa nguo za ndani ?

Pole sana...

Inaonekana hizo nguo wanazovaa ni transparent mpaka unawaona...


Jaribu kubadili type ya wanaume...


Cc: mahondaw
 
Kama mme wako havai nguo za ndani na hapaki mafuta ni yeye usiingize wanaume wote
 
nipake mafuta ili iweje tako ilainike au? ila boxer lazma ila so chupi
 
Kweli kabisa hawapaki mafuta hasa kwenye makalio wamepauka balaaa na inapelekea ukurutu chini ya uvungu wa makendeee

Ushauri wangu watumie mafuta ya nazi kwa suluhisho lao.
Nipake mafuta makalio ili nigundue ninj eti.
 
Poleni na ugumu wa maisha… Hapa kazi tu !

Wanaume mpo ?

Kuna kasumba fulani kwa wanaume wengi hapa Tanzania.

Wakioga hawapwndi kabisa kupaka mafuta na hata akipaka anapajipaka usoni tu na mikononi halafu anaishia mtaani kiroho safi. Anakula suti yake na tai kumbe huko ndani ukimcheck amepauka kinoma mpaka ngozi imekakamaa.

Na hawapendi kabisa kuvaa nguo za ndani.

Ni kwamba huwa wana haraka sana ama wanaogopa mafuta yanawaunguza huko ndani? Au wakivaa nguo za ndani watababuka kwenye joints za mapaja ?

Mwanaume akiumwa ama akapata ajali akawa hajitambui halafu akaenda hospital utastaajabu ya Musa…

Kukata kucha huwa kazi sana.

Kuvaa nguo za ndani kuna tatizo gani ? Kupaka mafuta vizuri mwili mzima ukanawili nini shida?

Badilikeni maana mnachana mashuka na kukwangua wake zenu…


Wenyewe wanasema hawapendi kuvaa chupi kwa sababu wanajiandaa na lolote litakalotokea.
 
duh!
siku zote nilikuwa najuaga wewe ni ME
 
Back
Top Bottom