Kwanini wanaume wengi wa kitanzania hawapendi kupaka mafuta na kuvaa nguo za ndani ?

Poleni na ugumu wa maisha… Hapa kazi tu !

Wanaume mpo ?

Kuna kasumba fulani kwa wanaume wengi hapa Tanzania.

Wakioga hawapwndi kabisa kupaka mafuta na hata akipaka anapajipaka usoni tu na mikononi halafu anaishia mtaani kiroho safi. Anakula suti yake na tai kumbe huko ndani ukimcheck amepauka kinoma mpaka ngozi imekakamaa.

Na hawapendi kabisa kuvaa nguo za ndani.

Ni kwamba huwa wana haraka sana ama wanaogopa mafuta yanawaunguza huko ndani? Au wakivaa nguo za ndani watababuka kwenye joints za mapaja ?

Mwanaume akiumwa ama akapata ajali akawa hajitambui halafu akaenda hospital utastaajabu ya Musa…

Kukata kucha huwa kazi sana.

Kuvaa nguo za ndani kuna tatizo gani ? Kupaka mafuta vizuri mwili mzima ukanawili nini shida?

Badilikeni maana mnachana mashuka na kukwangua wake zenu…

Pesa tunazozitafuta na kuwa nazo kwa uwingi tayari Kwetu Sisi ni Mafuta na Chupi tosha.
 
Mimi sipendi kupaka mafuta kwa kuwa ngozi yangu ina mafuta tayari, nikipaka nakuwa nimejiovadozi na nikitembea ktk jua inakuwa jau, ila sijawai kupauka.

Nguo za ndani lazma nivae.
 
mbona nyie mnapakaga mafuta ya maiti usoni na kwenye papuchu hatuwasemi?
 
Poleni na ugumu wa maisha… Hapa kazi tu !

Wanaume mpo ?

Kuna kasumba fulani kwa wanaume wengi hapa Tanzania.

Wakioga hawapwndi kabisa kupaka mafuta na hata akipaka anapajipaka usoni tu na mikononi halafu anaishia mtaani kiroho safi. Anakula suti yake na tai kumbe huko ndani ukimcheck amepauka kinoma mpaka ngozi imekakamaa.

Na hawapendi kabisa kuvaa nguo za ndani.

Ni kwamba huwa wana haraka sana ama wanaogopa mafuta yanawaunguza huko ndani? Au wakivaa nguo za ndani watababuka kwenye joints za mapaja ?

Mwanaume akiumwa ama akapata ajali akawa hajitambui halafu akaenda hospital utastaajabu ya Musa…

Kukata kucha huwa kazi sana.

Kuvaa nguo za ndani kuna tatizo gani ? Kupaka mafuta vizuri mwili mzima ukanawili nini shida?

Badilikeni maana mnachana mashuka na kukwangua wake zenu…

mafuta upake mwili mzima ilikiwa nn

kuvaa chupi enz za machupi zilishapita apa mtu ni kuvaa boxer na kutulia nayo

au kama unaongealea ata boxer huyo ambae havai atakua na shida binafs ila wanaume asilimia kubwa tunavaa boxer
 
Kweli kabisa hawapaki mafuta hasa kwenye makalio wamepauka balaaa na inapelekea ukurutu chini ya uvungu wa makendeee

Ushauri wangu watumie mafuta ya nazi kwa suluhisho lao.
Unawahesabu saa ngapi, means wewe unalala na wanaume wengi , unalala na wanaume wengi mpaka kupata idadi kubwa kuwa huwa haipaki mafuta, ukurutu etc. Huwezi kulala na mmoja ukatoa such a conclusion. Kwenye research tunasema katika epidemiological studies, sample size matters a lot to make you results scientifically meaningful! Sample size yako ni pi na pia tutahitaji methodology....
 
Hill la mafuta na mimi nimo! La nguo za ndani sio kweli hasa......labda useme hatuzifui au kubadili mara kawa mara kama wadada. Kwa sisi wanaume mafuta na usafi wa nguo za ndani sio priority......lakini bado tuna shine tu, naturally!😀😀
 
Unawahesabu saa ngapi, means wewe unalala na wanaume wengi , unalala na wanaume wengi mpaka kupata idadi kubwa kuwa huwa haipaki mafuta, ukurutu etc. Huwezi kulala na mmoja ukatoa such a conclusion. Kwenye research tunasema katika epidemiological studies, sample size matters a lot to make you results scientifically meaningful! Sample size yako ni pi na pia tutahitaji methodology....
Nalala na wanaume wa3 kwa siku

UNA SWALI BADO?
 
Mi tangu niko primary niliacha kutokana na kuota machunusi nikipaka. Kuhusu nguo za ndani ni fashion tu ya boxer watu wameipenda, haina joto na haichubui kama chupi
 
Mtu anayekula balanced diet na mwili wake ukawa unapewa maji ya kutosha pasipo kujali jinsia hahitaji mafuta
Mafuta ni muhimu kwa wale ambao chakula kwao ni kama unifomu ya Jeshi
Chips mayai jan-dec
Kinywaji Soda
Wali nyama jan-Dec
Etc etc
Hivyo mtu kama huyo sio kuwa anahitaji mafuta pekee bali mafuta ya kulainisha ngozi maana itakuwa kama ya mamba
Poleni sana wapaka mafuta
Muwe na kawaida ya kula vizuri na kunywa juice ya tango Mara kwa Mara mtaondokana na mafuta kama wanaume wengi wa ukweli
 
Kweli kabisa hawapaki mafuta hasa kwenye makalio wamepauka balaaa na inapelekea ukurutu chini ya uvungu wa makendeee

Ushauri wangu watumie mafuta ya nazi kwa suluhisho lao.
enzi wafanya umalaya ulijionea mengi sana sishangai kutoa hii secret experience hapa kwa jukwaa
 
Kweli kabisa hawapaki mafuta hasa kwenye makalio wamepauka balaaa na inapelekea ukurutu chini ya uvungu wa makendeee

Ushauri wangu watumie mafuta ya nazi kwa suluhisho lao.
Mwanaume utapakaje mafuta makalioni maana wakati wa mpako kidole chaweza kuteleza kikaingia kunako 0712(tigo) na kujikuta umejibikiri linda lako.
 
Back
Top Bottom