Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Mm huwa sipaki mafuta kabisa,haiwezekani mwanaume nzima ukae dressing table unapaka mafuta labda kama sio ridhiki!
Suala la kuvaa chupi ndio chanzo kikubwa cha vibamia,halafu mnakuja kulalamika kuwa hampendi vibamia!
Hamna Jema nyie watu!!
Suala la kuvaa chupi ndio chanzo kikubwa cha vibamia,halafu mnakuja kulalamika kuwa hampendi vibamia!
Hamna Jema nyie watu!!